Ushauri wako Unahitajika

Ushauri wako Unahitajika

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
115
Wakuu mimi naamini hapa huwezi kosa unachokitafuta. Mimi ninashida ya kupata namba hizi 15754, 15231 n.k yaani kama zile za Clouds wanazotumia kutuma sms.

Shida yangu nataka nitumie kwenye kampuni, kwa lengo la kuwa mteja akituma sms kupitia namba hizo ziwe zinakuja kwangu moja kwa moja na ikiwezekana kampuni iwe inamrudishia ujumbe wa kupokea ujumbe wake mda huo huo.

Je ni kampuni gani inaweza kunisaidia hili suala na inapatikama wapi?

asanteni
 
Jaribu kuwasiliana na makampuni ya simu watakupa mwongozo. Au kama vp nenda kwa hao uliowataja Clouds wakakupe uzoefu wao
 
Back
Top Bottom