Nimeshtukia niko katika mahusiano na mdogo wa rafiki yangu sana niliyesoma naye sekondari. Nilikutana naye kwenye mishe zangu za chuo, na nimemsalandia zaidi ya mwaka mpaka kumpata. Nimejua kwamba ni mdogo wa rafiki yangu wakati tukifahamisha sehemu tulizotoka. I luv her n she luvs me. What should i do?
tunaomba Mungu mambo yaende mstari tutapamba na kusherekea. Lakn kwa muda huo kutakua na harambee za kusomesha wadogo chuo nasikitika ntashindwa kukualika.
tunaomba Mungu mambo yaende mstari tutapamba na kusherekea. Lakn kwa muda huo kutakua na harambee za kusomesha wadogo chuo nasikitika ntashindwa kukualika.
Nyalotsi, umeshaanza safari na kufika mbali ndio unaomba ushauri?
Anyway, kwa sababu umeamua kuanza mauhusiano na bint ambaye tuna- assume umempenda hakikisha unafikiri kutunza heshima ya rafiki yako .. changua mawili...
Kama mawazo yako ni "Hit n' Run" .. nashauri umwache binti mara moja...madhara yake yatakuwa makubwa kuliko unavyofikiri..
Kama mnapendana, manaaminiana, na unategemea kupeleka uhusiano to the next level - then go ahead..