Ushauri wako

Persie

Senior Member
Joined
May 2, 2012
Posts
188
Reaction score
15
Mimi nimemaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
 
NDUGU YANGU HICHI NDIO KIWANGO CHA CHINI AMBACHO TCU WAMEKISET

KWA MATOKEO YAKO WEWE UNA EEF=1+1+0=2 ushauri wangu kuna vyuo kama ST.JOSEPH NA VINGINE VINACHUKUA CHINI YA HICHO KIWANGO CHA TCU SO JARIBU KUANGALIA KWENYE KITABU CHA MUONGOZO
 
nimejaribu kuangalia nikaona kwamba kuna fuculty ya building economics chuo cha Ardhi inchukua points 2 lkn math's wameandika at least niwe na S lkn nna F sijui wata iregard ya "O"level coz nna B
 
nimejaribu kuangalia nikaona kwamba kuna fuculty ya building economics chuo cha ardhi inchukua points 2 lkn math's wameandika at least niwe na s lkn nna f sijui wata iregard ya "o"level coz nna b
hebu jaribu kuiweka kwenye machaguo yako wakati unaomba jaribu kuomba hizo kozi zenye point 2
 
kuna matatizo gan endapo m2 uta kata rufaa alafu ukashindwa je unaweza kufungiwa kitu chochote
 
nakushauri hebu omba pia ualimu ila iwe ni bed(ade) au bed (art) kwa mkwawa.
 
nimejaribu kuangalia nikaona kwamba kuna fuculty ya building economics chuo cha Ardhi inchukua points 2 lkn math's wameandika at least niwe na S lkn nna F sijui wata iregard ya "O"level coz nna B

sio kwamba nakukatisha tamaa dogo,ila building economics cku hzi inakimbiliwa na vipanga wengi so ushindani ni mkubwa sana,so kwa hzo pts zako cjui ka unaweza fanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…