professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Wakuu habari na dogo langu hapa (mtoto wa mama mdogo), Matokeo yake ya kidato Cha nne hayajawa mazuri sana kwani kapata division four.
Hivyo mama mdogo kanitafuta nitoe ushauri juu ya fani ipi dogo akasome veta, binafsi nimeona kozi ya fashion designing, sewing and cloth technology itamfaa sana, na binafsi nimeongea ane kasema anapendA mambo ya fashion na ushonaji..
Zaidi ya hapo nimefatilia kozi hiyo veta, wanasema Inachukua miaka mitatu na ada yake ni laki na 20 per Year.
Wakuu naomba kuuliza kwa anae ijuia vizuri hii kozi je inaweza msaidia dogo akajiajri na kuajirika. Jinsia yake ni ke
Shukrani mkuuHiyo fani nzuri anaweza kupata kazi katika viwanda vya nguo
Pia anaweza kujiajiri kwa kufungua workshop kushona suti. Nk.
Kila njia inatoka katika maisha kikubwa mfundishe kuwa awe humble na amtangulize Mungu kwa kila jambo.
Akae mbali na ngono ili atunze re-born and born
Mfano ukimaliza NVA level three in ICT au lab assistant. Anaenda kusoma diplomaWakuu habari na dogo langu hapa (mtoto wa mama mdogo), Matokeo yake ya kidato Cha nne hayajawa mazuri sana kwani kapata division four.
Hivyo mama mdogo kanitafuta nitoe ushauri juu ya fani ipi dogo akasome veta, binafsi nimeona kozi ya fashion designing, sewing and cloth technology itamfaa sana, na binafsi nimeongea ane kasema anapenda mambo ya fashion na ushonaji..
Zaidi ya hapo nimefatilia kozi hiyo veta, wanasema Inachukua miaka mitatu na ada yake ni laki na 20 per Year.
Wakuu naomba kuuliza kwa anae ijuia vizuri hii kozi je inaweza msaidia dogo akajiajri na kuajirika. Jinsia yake ni ke