Ana C moja tu ya kiingereza zingine ni E kwa division nazani four ya 30Yes Muambie aende veta. Nilitamani nijue iyo 0.3 GPA in equivalent to Division ili nijue ana D ngapi.
Anyway mpeleke tu bro. Ila kama amepata akili sio mbaya aka re-sit for exam apate cheti kizuri asonge na maisha
Aende VetaAna C moja tu ya kiingereza zingine ni E kwa division nazani four ya 30
Aende veta ukifanya mchezo atatoboa kushinda wewe mkuu kama anacheti tu atafute class C fasta analamba ajira serikalini maana madereva wanahitajika sana kulingana na hii fani wengi wao hawana vigezo ndo maana bado inauhitaji.Ana C moja tu ya kiingereza zingine ni E kwa division nazani four ya 30
Yuko vizuri huyo mpeleke hiyo veta/NIT apate ujuzi, na kama anapenda ufundi magari angesomea pia akiwa na bidii baada ya miaka michache atakuwa mbali mnooo. Kufaulu kwake English mtaji tosha huo. NGO kubwa na private establishments wanapenda watu wanaojua lugha ya malkia!! Naamini ana uwezo wa kuiongea kidogo hiyo Lugha, na hata kama hakipandi bado ana muda wa kujifunza maana nadhani yupo chini ya 25 so ana muda mwingi wa kujipanga. Nawajua drivers kadhaa wanapata salary ambazo advocates wa serikali na kada zingine hawapati na hapo bado per diems na accomodation allowances kibaooWakubwa nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne 2014 na kupata GPA ya 0.3, amekuwa kama mzigo sasa hakuna anachokifanya cha kumuingizia kipato ila ni dereva mzuri sana japo hajapitia mafunzo yoyote.
NAOMBENI USHAURI WENU JE NIKIMPELEKA VETA AKASOME DRIVING MAFUNZO YA AWALI INAWEZA KUMSAIDIA KWENYE KUENDESHA MAISHA YAKE AU NI KUJIPA HASARA? (ANAOGOPA KURUDI SHAMBA MSIMU WA KILIMO HUOOO UPO NJIANI)
Shukrani mkuu, ubarikiwe mnoYuko vizuri huyo mpeleke hiyo veta/NIT apate ujuzi, na kama anapenda ufundi magari angesomea pia akiwa na bidii baada ya miaka michache atakuwa mbali mnooo. Kufaulu kwake English mtaji tosha huo. NGO kubwa na private establishments wanapenda watu wanaojua lugha ya malkia!! Naamini ana uwezo wa kuiongea kidogo hiyo Lugha, na hata kama hakipandi bado ana muda wa kujifunza maana nadhani yupo chini ya 25 so ana muda mwingi wa kujipanga. Nawajua drivers kadhaa wanapata salary ambazo advocates wa serikali na kada zingine hawapati na hapo bado per diems na accomodation allowances kibaoo