Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Error
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kusingiziana ni kweli kaniomba hivyo au unadhani ingekuwa tatizo ni langu nikeogopa kusema????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi kwanini mnapenda kusingiziana?
Mi sijui kwanini unakuwa na huo weusi
Sijamuuliza kama hata akivaa!ata akiva kondom napo bado anapata weus?
Ubarikiwe nadhani itamfaa sana ntamshauri soonAtakuwa hamwamwandai vya kutosha mwanamke hivyo kunakuwa hakuna mucus ya kutosha thus inasababisha frinctions ambazo ndizo zinakuwa nyeusi but ni vyema akimwona dactari kwani kuna baadhi ya bacteria wanakuwa na dalili hizo hivyo akapime kwanza.