Ushauri: Wakuu kupatwa na weusi baada ya kufanya mapenzi

Atakuwa hamwamwandai vya kutosha mwanamke hivyo kunakuwa hakuna mucus ya kutosha thus inasababisha frinctions ambazo ndizo zinakuwa nyeusi but ni vyema akimwona dactari kwani kuna baadhi ya bacteria wanakuwa na dalili hizo hivyo akapime kwanza.
 
Ubarikiwe nadhani itamfaa sana ntamshauri soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…