Wakuu naombeni mnishauri
Naishi nyumba moja na dada mmoja ambaye nimetokea kumpenda (na sio kumtamana) sababu nataka kumuoa
tatizo nashindwa kumweleza jinsi moyo wangu ulivyomdondokea kutokana na historia yangu,siku za nyuma nilikua naingiza mademu mara kwa mara na anashuhudia ila kwa sasa tuko closed sana weekend nyingi hua tunatoka pamoja hata leo ameahidi kunitoa cause jana ilikua birthday yangu akakosa nafasi ya kunipongeza, wakuu domo limekua zege sijui nijitose vipi
ushauri wenu utasaidia