Ushauri wakuu

Kiduku

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
478
Reaction score
73
Wakuu naombeni mnishauri

Naishi nyumba moja na dada mmoja ambaye nimetokea kumpenda (na sio kumtamana) sababu nataka kumuoa
tatizo nashindwa kumweleza jinsi moyo wangu ulivyomdondokea kutokana na historia yangu,siku za nyuma nilikua naingiza mademu mara kwa mara na anashuhudia ila kwa sasa tuko closed sana weekend nyingi hua tunatoka pamoja hata leo ameahidi kunitoa cause jana ilikua birthday yangu akakosa nafasi ya kunipongeza, wakuu domo limekua zege sijui nijitose vipi
ushauri wenu utasaidia
 
we kama umeweza kuingiza mademu wengi kiasi hicho DOMO ZEGE limetoka wapi? Acha kutuyeyusha, nenda kampige verse!
 
haha guilty inakusumbua....kama wewe umepanga kumuoa,huyo ndio atakuwa mkeo kama unamuogopa huoni hili ni tatizo??? kuwa na confidence bwana....
 
Ingekuwa enzi zangu. Sasa hivi ningekuwa naelezea jinsi game ilivyochezwa.
 
Ukifika kwenye huo mtoko nshitue nije nikusaidie cha kufanya u-tani-introduce, afu we utakwenda kwenye Pool table utacheza Game moja tu afu urudi tulipoketi ntakuwa nimemweleza hitaji lako!!!!
 
Ukifika kwenye huo mtoko nshitue nije nikusaidie cha kufanya u-tani-introduce, afu we utakwenda kwenye Pool table utacheza Game moja tu afu urudi tulipoketi ntakuwa nimemweleza hitaji lako!!!!

mpk akirudi atakuta ameshatoka damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…