Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 787
- 1,056
Nimeenda dukani kununua wall putty, nimekuta kampuni ya "Billion" na ya "Best Powder" ambazo sijawahi kuzitumia,
always huwa natumia White Skim ya Magic Builders ambayo kwa sasa haipo eneo nililopo.
Kwa waliowahi kuzitumia hizi za "Billion" na "Best Powder" hazina changamoto yoyote?