Utoaji wa maoni juu ya suala fulani uendana na utashi mtu husika,naomba sana kupitia jukwaa hili ambalo linategemewa na watu wengi kupata habari za uhakika kuhusu elimu tulitumie vizuri kwa kutumia lugha za kiustlabu(siyo kutoa matusi kama walivyo baadhi ya wanajf-elimu),mungu awabariki.