USHAURI WANA JF

USHAURI WANA JF

masaga ndoshi

Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
46
Reaction score
82
Habari zenu wana Jf, nina jambo napenda kuwashilikisha ili nipate mawazo yenu, kuna eneo lipo kijijini kwetu ili eneo ni mali ya mama yangu, siku za hivi karibuni ilisadikika kuna madini kwenye ilo eneo watu walivamia lile eneo na kuanza kuchimba baada ya muda serikali ya kijiji ikaweka zuio la kuchimba sababu mwenye eneo hajatoa idhini ya watu kuchimba , sasa nahitaji lile eneo nikafanye kazi za uchimbaji mwenyewe sina uzoefu na kazi za madini na pia nahitaji kufanya upimaji ili kujua km kweli madini yapo tatizo sina mtaji wa kuweza kufanya yote hayo nahitaji msaada wenu wa mawazo wana Jf nini nifanye [emoji120]
 
Waliochimba walipata madini Gani!?
 
Back
Top Bottom