kama pcb ulijaza ya kwanza unanafasi ya kwenda pcb....ni kweli medicine lazima usome pcb ila hata cbg unaweza ukawa dr ila sio wa binadamu na hapa naongelea veterinary medicine(u-dr wa mifugo) ambao pia bado unalipa sana....kwa kifupi mtu aliyesoma pcb ana wigo mkubwa zaidi ya yule wa cbg,mi nakushauri pcb na nna iman hiyo(kama ulijaza ya kwanza) ndio utayopangwa....all the best!!!mi nkijana niliye hitimu kidato cha nne 2012 namshukuru Mungu nimepata div.2 ya 19 na mimi napenda sana masomo ya sayansi hasa comb ya PCB na CBG sasa nmepata iv PCB-dcb na CBG-cbc sasa wasiwasi wangu ni kwamba naweza nsichaguliwe pcb nikaenda cbg na mim malengo yangu ni siku moja kuwa dr of medicene na nimejaribu uliza wengine na nimeambiwa kua kam nataka ivyo lazma nsome pcb.... naombeni mnijuze juu ya ilo pia ni mambo gani mtu anayoweza fanya akichukua PCB na CBG... Natanguliza shukrani zangu za dhati.,
kama pcb ulijaza ya kwanza unanafasi ya kwenda pcb....ni kweli medicine lazima usome pcb ila hata cbg unaweza ukawa dr ila sio wa binadamu na hapa naongelea veterinary medicine(u-dr wa mifugo) ambao pia bado unalipa sana....kwa kifupi mtu aliyesoma pcb ana wigo mkubwa zaidi ya yule wa cbg,mi nakushauri pcb na nna iman hiyo(kama ulijaza ya kwanza) ndio utayopangwa....all the best!!!
Utachaguliwa PCB kama uliweka kuwa chaguo la kwanza kwani wengi wamefeli, lazima serekali itahakikisha wale wa sayansi wanapatikana kwanza kabla ya fani zingine kama ilivyo sera ya maendoleo ya nchi kwa hivi sasa. Ila kama umedanganya pole