Deogratias Mutungi
Senior Member
- Oct 1, 2019
- 140
- 181
Mkuu umeshajikatia tamaa kabisa ! Ndio maana mdau anasema jf iwe moja ya sehemu ya kuwakilisha maoni ya katiba ili kama kuna elements za kichama ziwe disloved.Sidhani kama ni muda muafaka kutafuta katiba Mpya ,haya Maridhiano ya Mbowe yatatupa katiba ya wanasiasa sio ya wananchi .
Muda muafaka ni lini? Hiyo yenu wananchi mtaanza kuidai lini?Sidhani kama ni muda muafaka kutafuta katiba Mpya ,haya Maridhiano ya Mbowe yatatupa katiba ya wanasiasa sio ya wananchi .
Sijatumwa, Bali nahiitaji tuwe sehemu ya mchakato huu kama wananchi "wanajukwaa" na si kuwaachia Wana siasa peke yao.kama mutungi ni baba yako kakutuma mwambie mchakato na maoni yashatolewa kitambo awaachie waliouanzisha waumalizie.
Katiba pendekezwa tena!Salaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye tuyawasilishe kwa maandishi sehemu husika.
Kwa mantiki hiyo, siku ya Jumatatu nitaandika barua kwenda kwa msajili Jaji Mutungi, kuomba muongozo wa agenda hii, Sisi ni sehemu ya Katiba na Katiba ni sehemu ya maisha yetu kwa kizazi cha leo na kijacho, nawasilisha. Asante.
warioba alishamaliza kazi, mtu mwenye akili hatakubali janja janja ya samia na CCMSalaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.
Napendekeza uwepo utaratibu maalumu wa Jukwaa hili kuwasilisha maoni yetu kuhusiana na Katiba pendekezwa, na hatimaye tuyawasilishe kwa maandishi sehemu husika.
Kwa mantiki hiyo, siku ya Jumatatu nitaandika barua kwenda kwa msajili Jaji Mutungi, kuomba muongozo wa agenda hii, Sisi ni sehemu ya Katiba na Katiba ni sehemu ya maisha yetu kwa kizazi cha leo na kijacho, nawasilisha. Asante.
Ni wazo zuri xnaSalaam, Wana JamiiForums, Kwa kuwa Jamii Forums ni Jukwaa lenye wasomi, wanazuoni na nguli wabobevu katika sheria na Katiba na mambo mengi ya Kijamii, kisiasa na kiutamaduni.