Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki.
" Mambo my ! Nimekumiss sana"
" Babe umenisusa upo kweli"
" Mambo vipi? Unaendeleaje?"
" Nina hamu na wewe babe?"
" Siku hizi umenitenga sana"
" Upo handsome?"
" Hey love"
" Hujambo?"
Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi hamjawasiliana then akakutext Whatsapp. Usijibu. Mblock tu. akipiga simu usipokee. Mblock pia. Akituma msg usijibu Mblock kabisa.
Ukijichanganya tu ukamjibu kifuatacho kama haupo vizuri...
"Babe njaa inaniuma leo sina pesa ya lunch"
"Love yaani hapa ndo nagundua sina nauli sijui wameniibia maskini?akiba yote ndo wamekwapua nimechanganyikiwa"
" Mpenzi sina pesa ya kule leo"
" Mwenzio nipo vibaya sana kwa kweli"
" Yaani huu mwezi sijui nitaishije"
" Natamani tuonane lakini sina hata pesa ya nauli sijui nifanyeje"
Mimi tayari mademu watatu kwa hii leo wameshani bom. Wawili toka mwaka umeanza hawakuwasiliana nami. Mmoja amekuwa akiruka ruka na nikimtext hajibu hata week mbili. Leo kanitafuta mwenyewe.
Nikamjibu ..mara mbili tu anasema ana njaa. Nikamjibu akale.nikamblock. huyu alikuwa ana jeuri sana. Unamtumia msg hadi wiki mbili hajibu.unamtext tena. Anasema yupo busy.Dar hii hii nikimwambia tuonane anaruka ruka. Ila pesa anataka atumiwe.
Mwingine jana kaniambia tuonane weekend hii toka miaka 4 hatujawahi onana hapa hapa Dar. Nikimwambia excuses nyingi sana. Jana akaniuliza weekend naweza onana naye nikajibu sawa.
Leo kaanza nisalimia.nikamjibu ameomba nimtumie tsh 50,000. Nikamkumbusha kuwa miaka 4 anakwepa kuonana nami nini kimemsibu? Nikamwambia tu haina shida mi namtumia 30,000 itamfaa.
Kapokea. Anasema nimsamehe tu.na weekend nimeghairi siendi kuonana rasmi na matatizo. Sitaki. Wanataka kuniua bure tu hawa.