MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Habari Wana jukwaa hope wote ni wazima, Mimi ni member mpya wa Jf pia ni moja ya mwanafunzi katika moja ya chuo kikuu apa kwetu TANZANIA.
Lengo la Uzi huu nilipenda kutoa ushaur na mawazo Yangu kwa serikali yangu ya Tanzania, kuanza kutoa ajiri za walimu kwa mkataba yaani iwe iv;
📌📌📌Mwalimu aajiriwe kwa mkataba wa miaka kumi tu baada ya apo mkataba wake uishe nafasi yake ichukuliwe na mwalimu mwingine ambae bado ni non employed📌📌
FAIDA YA KUWA NA HUU MFUMO
01. Itasaidia kupunguza tatizo la ajira
02. Itaongeza nidhamu ya pesa kwa walimu walio ndani ya ajira, kwan, mwalimu atawekeza PESA yake ya mshahara kwa nidhamu akitambua ajira yake ni ya muda
📌📌📌 Zaidi ya yote Ikiwa serikali yangu itafata huu mfumo sharti ni moja iongezee na kupandisha mishahara kwa walimu ili ndani ya miaka kumi ya utumishi wao watoke angalau na kitu kitakacho wainua📌📌
Karibuni kwa mawazo yenu wakuu wangu.