Ushauri wangu kufunga mjadala issue ya makinika na ACCASIA

Ushauri wangu kufunga mjadala issue ya makinika na ACCASIA

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,437
Reaction score
4,618
Hivi ikasafiri team ya wataalam pamoja na yale macontena kwenda huko wanakochembua, Au sisi Tanzania tusafirisha tukachembua na kupata kiasi halisi cha dhahabu si mjadala umeisha?

Baada ya hapa ndio tujue hawa ACASIA wametuibia kiasi gani?
 
Back
Top Bottom