Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,437 Reaction score 4,618 Jul 26, 2017 #1 Hivi ikasafiri team ya wataalam pamoja na yale macontena kwenda huko wanakochembua, Au sisi Tanzania tusafirisha tukachembua na kupata kiasi halisi cha dhahabu si mjadala umeisha? Baada ya hapa ndio tujue hawa ACASIA wametuibia kiasi gani?
Hivi ikasafiri team ya wataalam pamoja na yale macontena kwenda huko wanakochembua, Au sisi Tanzania tusafirisha tukachembua na kupata kiasi halisi cha dhahabu si mjadala umeisha? Baada ya hapa ndio tujue hawa ACASIA wametuibia kiasi gani?