Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,391
- 1,347
Kama umezoea kuendesha magari ya chini, namaanisha fast cars kama altezza, subaru n.k, usije kununua ist, racts, oppa, passo, cam nk. utakufa.
Hizi gari za chini, ukiendesha speed haipinduki, yenyewe inacheza tu ata ukikaba brek ghafla ila hizi nyngne hazifai, usijaribu
Bora kama umezoea magari ya speed ubaki huko huko, au bora uanze na hizi za slow speed ndo uhamie uko kwenye high speed