Kwani watakufa? Kwahio madereva wa hizo gari wanasubiri kufa?Kama umezoea kuendesha magari ya chini, namaanisha fast cars kama altezza, subaru n.k, usije kununua ist, racts, oppa, passo, cam nk. utakufa.
Hizi gari za chini, ukiendesha speed haipinduki, yenyewe inacheza tu ata ukikaba brek ghafla ila hizi nyngne hazifai, usijaribu
bora kama umezoea magari ya speed ubaki huko huko, au bora uanze na hizi za slow speed ndo uhamie uko kwenye high speed
tahadhariKama umezoea kuendesha magari ya chini, namaanisha fast cars kama altezza, subaru n.k, usije kununua ist, racts, oppa, passo, cam nk. utakufa.
Hizi gari za chini, ukiendesha speed haipinduki, yenyewe inacheza tu ata ukikaba brek ghafla ila hizi nyngne hazifai, usijaribu
bora kama umezoea magari ya speed ubaki huko huko, au bora uanze na hizi za slow speed ndo uhamie uko kwenye high speed
Opa naendesha mpaka 150kph na iko still tu imetulia na wala sina wasiwasi. Sipendi kumaliza speed sababu za usalama ila kamwendo kapo kapo.Kama umezoea kuendesha magari ya chini, namaanisha fast cars kama altezza, subaru n.k, usije kununua ist, racts, oppa, passo, cam nk. utakufa.
Hizi gari za chini, ukiendesha speed haipinduki, yenyewe inacheza tu ata ukikaba brek ghafla ila hizi nyngne hazifai, usijaribu
Bora kama umezoea magari ya speed ubaki huko huko, au bora uanze na hizi za slow speed ndo uhamie uko kwenye high speed
Kama umezoea kuendesha magari ya chini, namaanisha fast cars kama altezza, subaru n.k, usije kununua ist, racts, oppa, passo, cam nk. utakufa.
Hizi gari za chini, ukiendesha speed haipinduki, yenyewe inacheza tu ata ukikaba brek ghafla ila hizi nyngne hazifai, usijaribu
Bora kama umezoea magari ya speed ubaki huko huko, au bora uanze na hizi za slow speed ndo uhamie uko kwenye high speed
Bwahahaha...jamaaa ka-ist kamemtupa mtaroni anakuja na conclusions zinazohusu magari yote..Sawa tumekusikia...naona umenusurika kifo na ki ist chako [emoji3][emoji3]
Mwendokasi unaua haijalishi altezza au spacioView attachment 1596128Kama umezoea kuendesha magari ya chini, namaanisha fast cars kama altezza, subaru n.k, usije kununua ist, racts, oppa, passo, cam nk. utakufa.