Kwanza niwape pole Watanzania wote Mashabiki na wapenda mpira kwa kadhia ya kunyimwa burudani ya soka kati ya watani wa jadi.
Jambo lile limeleta hathari si kwa Azam tv Pekee Bali kwa watanzania wote.
Watu walisafiri, watu walilipia vingamuzi. Azam tv waliitangaza sana mechi hiyo kwenye radio station mbali mbali pamoja na tv station mbali mbali. Pamoja na kutengeneza vipingi mahususi vya kuelekea mchezo huo.
Ushauri wangu kwa Azam Media limited.
Umuhimu wa kupitia upya mikataba yao pamoja na TFF pamoja na bodi ya ligi.
Ili kuweka sheria Kali hasa pale panapotekea upuuzi kama uliotokea juzi.
Kama kungekua na kipengele kinacho zibana hizi timu kwenye mkataba ujinga ule usingejitokeza.
Sasa niwakati mahususi wa Azam Media limited kuweka masharti kwenye mikataba yao juu ya urushwaji wa matangazo ya mpira.
Naomba kuwasilisha.