Kuna baadhi ya imani hazicheki na kima ni tit for tat mnamalizana hapohapo
Huyu mkenya pumbavu sana
Angalia ujumbe aliouleta bwana brian deacon na huu aliouleta bwana omondiHata Brain Deacon alimwigiza Yesu, so sioni tatizo kwa Omondi.
Ninacho mshauri, aongeze lishe. Jamaa ni slim mno hadi anaogopesha.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji40]Huo msalaba wa eric omondi umewakwaza kivipi? Shika imani yako telekeza wajibu wako kama mkristu kamili. Waliosulubiwa na msalaba sio yesu peke yake. Ukijua kutofautisha msalaba wa yesu na wa eric omond hutapata shida.
Angalia ujumbe aliouleta bwana brian deacon na huu aliouleta bwana omondi
Mentor sina tatizo kabisa na msimamo wako huo lakini tafakari kama ni sahihi kuita hii ni. ..'very shallow thinking...!'Shida iko wapi?
Soma kilichoandikwa kwenye msalaba wake: MWIZI FORGIVEN
Kilichoandikwa msalabani mwa Yesu: Mfalme wa Wayahudi (INRI)
Kwa kweli mshana jr kwa hili nitakupinga milele na wala sitaki kukubaliana kutokukubaliana kwa hili. Ni either ubadili mtazamo wako au nikukosoe muda wote. This was very shallow thinking of you kwa kweli sikutegema kabisaaaaaaaa...
MWIZI FORGIVEN ni ujumbe kwetu Wakristo and infact wanadamu wote kuwa hakuna kuchelewa, hata sasa uwapo msalabani (au saa ya kufa kwako) bado unayo nafasi ya kusamehewa ukitubu.
Tunaelekea msimu wa Krismasi, makanisa mengi yatakuwa na maigizo ya kuzaliwa kwa Yesu. Sio kwa kuwa wanakashifu kuzaliwa kwake, bali kwa lugha ya picha mwanadamu anapata ujumbe kirahisi zaidi....kuwa huyu aliyezaliwa kwenye hori la kulishia ng'ombe alikuja kwa ajili yangu ili niokolewe na sio hawa wanafanya mzaha na kuzaliwa kwa Yesu.
Huyu aliyeangikwa msalabani anao uwezo wa kusamehe na kukutangazia uzima wa millele hata kama ulikuwa mwizi uliyeangikwa msalabani unasubiri kifo.
Mimi nasema Eric amefikisha ujumbe mzuri wakati mzuri, tunapotafakari kuzaliwa kwake tusijisahau na kula pilau, kunywa mbege na kuchinja mbuzi huku wanafunzi wakifurahia kutokwenda shule. Hapana! Tutafakari sababu ya kuja kwake kwa kuutazama msalaba wake. Lakini pia kwa kutazama waliokuwa wameangikwa pamoja naye msalabani tujue tuna nafasi ya kubadilika na kutangaziwa uzima wa milele au kuendelea kukejeli na kwenda motoni.
Mentor sina tatizo kabisa na msimamo wako huo lakini tafakari kama ni sahihi kuita hii ni. ..'very shallow thinking...!'
Mentor hii ni case ya kiimani ndio maana ikazua outrage!na ndicho alichotaka Omondi! Na mimi nikasimama kwa upande waliokwazika, sioni shida mpaka hapo, wengine wakaona ni sahihi na wengine wakapondaof the utmost shallow and narrow and inside the box thinking bro! Na hii ni kwako. Angewaza hivi mtu mwingine nisingekuwa na shida. I placed you so high up on out-of-the-box thinking to come up with this thread!
Eric Omondi in as much as is a comedian bado ni Mkristo so si kila afanyacho ukiangalie kwa miwani hiyohiyo ya ucheshi!
Yeap. Yaani kichwa kingeshashuwa chini+ television iliorushwa kuchomwa moto wallahiKuna baadhi ya imani hazicheki na kima ni tit for tat mnamalizana hapohapo
Mentor hii ni case ya kiimani ndio maana ikazua outrage!na ndicho alichotaka Omondi! Na mimi nikasimama kwa upande waliokwazika, sioni shida mpaka hapo, wengine wakaona ni sahihi na wengine wakaponda
Kuna baadhi ya vitu hatuwezi kwenda sawa, changamoto ambayo always naikubali
Hebu ona huyu alichoandika
[emoji15] [emoji3] [emoji115] Mentor wallah sijui leo umekuwaje! Kwanini hutaki kukubali mitazamo ya wengine? Kwanini leo utake kuona Omondi was right kwakuwa tu umekubaliana na alichofanya?kama unataka tukubaliane kuwa kuanzia leo thinking capacity yako na ya Baraka ni SAWA.
Baada ya hapo tuendelee kujadiliana. La sivyo nitabaki na msimamo kuwa lengo la Eric halikuwa kuleta mtafaruku wala nini. lengo lake ni kufikisha ujumbe kuwa MWIZI FORGIVEN. Mimi na wewe tunayo nafasi ya kusamehewa pia...full stop! hiyo outrage ni narrow minded baraka princes'!!!!!
Watu wasiotaka kufikiri nje ya box na kuona the big picture kwa nini alifanya alivyofanya. context ipi? Umeangalia video yote ama umeangalia picha moja tu? Hata kama umeangalia picha, je umesoma maneno? Kajifananishaje na yesu hapo?
The more I wirte the more naona jinsi waliokwazika hawakufikiria twice.
[emoji15] [emoji3] [emoji115] Mentor wallah sijui leo umekuwaje! Kwanini hutaki kukubali mitazamo ya wengine? Kwanini leo utake kuona Omondi was right kwakuwa tu umekubaliana na alichofanya?
Seriously sitajali utaniweka kwenye level gani as you just mentioned....lakini kamwe sitakuwa rigid kwenye mitazamo...
Nilichofanya kwenye post hii kama ni kumshauri simply because of his career..nimeandika vizuri kuhusu hilo na kwamba kwa kitu kinachoweza kuonekana kidogo kama hiki anaweza kujipotezea mashabiki wengi...ulikuwa ni ushauri wa direct kwake lakini ndio yakazuka haya mabishano which is alright kwakuwa nimeandika kwenye forum huru
Hii ya Leo hii ngoja tusitishe huu mjadala...inawezekana kabisa kuna kitu cha ziada kwenye hii commotion ya omondi inawezekana kabisa kuna bifu kati ya hao vijana na kuna watu wanaside na kila upande1. mara nyingi huwa napenda principle ya 'agreeing to disagree' lakini kwa hili la kujifanya unamshauri Eric naomba nisiitumie.
2. Omondi was right maana alichokuwa anafanya ni ku-remix tu wimbo wa KULIKO JANA..Yesu hunipenda leo kuliko jana. Yesu hunipenda niwapo msalabani (kumbuka only the worst criminals ndo walikuwa hanged kipindi hicho) na nikajutia dhambi zangu. Yesu hunipenda leo kuliko jana.
Ulitaka aigizeje. Halafu kinachonikera zaidi ni wanaposema kaigiza kama Yesu mara ooh msalaba ni kitu muhimu...na wakati huo huo watu wameangalia video na wamesoma maneno juu ya msalaba wake. Nabaki najiuliza ni kwamba hawakusoma Bibilia wakajua stori yote, chuki binafsi dhidi ya Eric ama u-much know na udini wa Baraka!???
3. Kuna msimimamo haihitaji pande mbili. The earlier you know this the better.
4. Ushauri ulitakiwa upewe wewe kuwa siku nyingine usiangalie kazi ya sanaa kwa miwani moja. Vaa miwani kadhaa utafakari upya. Jiulize hii video mpaka imetengenezwa hakukuwa na watu waliowaza impact yake?
5. Alichofanya hakikutakiwa na hakitakiwi kuonekana kidogo maana kama wewe ni Mkristo kweli basi utajua ukumbusho aliokupa. Siku zote ukisikiliza huu wimbo hutauimba tu kama wimbo mzuri bali utakukumbusha nafasi yako kuwa ndiyo YESU ANAKUPENDA KULIKO JANA lakini pia unayo kazi/.wajibu wa kufanya...hapo ulipo kwenye msalaba wako (uzinzi, wizi, uongo, uasherati, ufiraji, kutokuwa mwaminifu kazini/nyumbani, nk nk ) una wajibu wa kuomba msamaha nawe utasamehewa.
Kila mtu ana msalaba wake kama wa wale wezi wawili tofauti yetu ni; kuna mwizi mmoja alikejeli na akahukumiwa na mwizi mwingine alitambua kosa lake, akatambua ukuu wa aliyepo pembeni yake akaomba msamaha, akatubu akasamehewa...MWIZI FORGIVEN.
Wewe na msalaba wako, mimi na msalaba wangu... [HASHTAG]#TAFAKARI[/HASHTAG] [HASHTAG]#CHUKUA[/HASHTAG] HATUA....