Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Dec 6, 2016 Thread starter #81 MOTOCHINI said: Poleni na dini yenu Click to expand... Asante sana
Mustaphagentleman JF-Expert Member Joined Jun 22, 2016 Posts 3,953 Reaction score 3,022 Dec 6, 2016 #82 Na bora ni mkiristo angekuwa ni Islam halfu ndo avae kama Yesu msalabani watu wangetofautiana mpaka kuchukiana
Na bora ni mkiristo angekuwa ni Islam halfu ndo avae kama Yesu msalabani watu wangetofautiana mpaka kuchukiana
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,328 Reaction score 23,909 Dec 7, 2016 #83 Mustaphagentleman said: Na bora ni mkiristo angekuwa ni Islam halfu ndo avae kama Yesu msalabani watu wangetofautiana mpaka kuchukiana Click to expand... Wanaochukia wala sio Wakristo ni wale wenye majina ya Kikristo. Wakristo wametulia na wameelewa ujumbe [HASHTAG]#MWIZIFORGIVEN[/HASHTAG]
Mustaphagentleman said: Na bora ni mkiristo angekuwa ni Islam halfu ndo avae kama Yesu msalabani watu wangetofautiana mpaka kuchukiana Click to expand... Wanaochukia wala sio Wakristo ni wale wenye majina ya Kikristo. Wakristo wametulia na wameelewa ujumbe [HASHTAG]#MWIZIFORGIVEN[/HASHTAG]