Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu habari zenu,
Nataka niwashauri FIFA na TFF kuhusiana na tuzo wanazotoaga za mchezaji bora kwenye mpira wa miguu
Kwa muda wa miaka 10 sasa tuzo ya mchezaji bora wanabadilishana tu ronardo na messi ,hata kama hawakustaili,nimeona inamapungufu sana wachezaji wanachaguliwa badala ya hapo wanapigiwa kura na macaptain wa timu ya taifa na makocha .
hii inaleta malalamiko sana kwa mfano 2010 messi alikuwa mchezaji bora wa dunia , lakini kwenye world cup South Africa hakufunga hata goal moja mpaka wanatolewa ,kuna mtu kama sneider wa inter milan huo mwaka alichukua makombe yote ya ligi ya italy na klabu bingwa dunia na alifanya vizuri kwenye hiyo world cup ,timu yake ya uholanzi aliisaidia ikafika fainali na alifunga magoli, lakini alitoka mikono mitupu.
Msimu wa mwaka 2012/13 klabu ya bayen munich walichukua makombe yote walioshiliki lakini mchezaji bora anapewa ronaldo ,mtu kama frank libery alionesha uwezo mkubwa sana huo msimu na kuisaidia timu kuwatandika barcelona jumla ya magoli 8-1.
Ronaldo na messi wao ni moja na mbili tu wananadilishana kwa muda wamiaka kumi sasa mfululizo.
Ilikuondoa huo utata wasiwe wanapiga kura
Iwe hivi kwa mfano mchezaji bora wa uefa(ulaya) ,
Uefa kila wiki baada ya mechi kuchezwa wanatoa mchezaji bora wa wiki hiyo kwa mechi zote zilizochezwa wiki hiyo ,ushauri wangu wachukue tu mchezaji wenye tuzo nyingi za wiki ndio awe mchezaji bora wa uefa hicho ndiokiwekwe kipaumbele, umechukua mchezaji bora mara ngapi wa wiki, Mwenye nyingi ndio apewe ,hakuna haja ya kupepesa macho.
Kama sasa hivi zimeshachezwa mechi sita uefa mzunguko wa kwanza umeisha mtu ambaye amechukua mara nyingi mchezaji bora wa wiki ni mo salah wa Liverpool kachukua mara 2 ronaldo mara moja messi sijamuona ,lakini mpaka hapo round ilipofika watakuambia ronaldo na messi moja na mbili.
kwenye hizo tuzo mchezaji bora wa wiki auwezi ukaingia tu hivi hivi lazima uwe na assist na magoli uweumefunga na ulikuwa man of the match.
2010 jose mourihno alipewa tuzo na FIFA ndio kocha bora kwa huo mwaka aliposimama mbele kuongea alisema yeye ndio kocha bora wa mwaka kwa sababu amechua makombe yote aliyoshiriki.
Na hata hapa kwetu bongo iwe hivyo hivyo nani ana tuzo nyingi za mchezaji bora wa mwezi ,aileti maana mtu amechukua mchezaji bora wa mwezi mara nyingi halafu mnachagua mtu mwingine ndio mchezaji bora wamashindano hayo.
Kama wamelingana tunakuja nani ana man of the match nyingi,assist na magoli yanafuata. Na sio kuwaachia makocha na macaptain wa timu yataifa,na TFF.
Hata shuleni mkimaliza form 4 ,mwanafunzi bora kwenye somo fulani wanajumlisha marks zote ulizowahi kupata kuanzia unaanza form 1 kwenye somo usika na kuangalia nani mwenye marks kubwa ndio anapewa huo ni mfano rahisi tu ,lakini hawauoni.
tuzo ya mwaka jana ya mchezaji bora wa dunia imeenda kwa ronaldo captain mbwana ali samatta alitakiwa apige kula yeye kama yeye lakini TFF walimchagulia wachezaji wanaowajua wao kisa eti alikuwa hayupo nchini,sasa anatakiwa captain ndio achague na sio TFF,FIFA waliweka hivyo wanamaana yao.
Tukifanya hivyo tutawatendea haki wachezaji wanaostaili. Kama unayakwako ungezea .
Nawasilisha.