Kibosho1
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 2,621
- 4,293
Wadau inapendeza kuwa pamoja kwa umoja.
Napenda kutoa pongezi kubwa sana kwa waumini wa WCM. Natoa pongezi kubwa pia kwa Naseeb Abdul a.k.a Diamond au Dangote.
Diamond ametengeneza nembo ambayo imekubalika sana na vijana wengi kwa kipindi hiki. Kukubalika huko kumeinua vijana wengi pia wawe wa kawaida au wawe na bidii waumini wakikukubali utakuwa juu tu.
Natoa ushauri kwa Harmorapa kama anataka na yeye kuwa juu aende tu WCB kwa waumini hawa watambeba na atakuwa juu haraka sana kuliko hata Rich Mavoko na Konde Boy.
Uzuri wa waumini hawa hawachagui ubora wala uwezo wao shida yao ni kuwa tu kwenye label yao.