Penshen ya nni.Mmh jaman umaarufu una gharama zake
Si angetulia tu na kula pensheni zake mambo ya ujana keshakula tangu enzi za ubaharia.
Penshen ya nni.
Umejuaje mkuu ? Mbona napata mashaka na hiyo kauli yakoHalipii Papuchi wamemkomoa
Kumbe [emoji15]Ya kumtumikia makonda
kumbe hata wewe unakesha kufuatilia umbea?[emoji23] [emoji23] [emoji23] tulipewa taarifa kabisa kuwa ifikapo 00:30 sharp atabonyeza kitufye cha bomu la nyuklia... Gambo naye akakesha aone...