HahahahaNingekua lemutuz ningepost kale Ka nyimbo Ka shaggy- it wasn't me...
tumechagua wenyewe siasa chafu na chama kubwa ndio waasisi matokeo yake hata wanaume wanaona sawa tu mwanaume mwenzao kuaibika. ila mange siku watesi wake wakimtia nguvuni sijui itakuwaje.On the other side,huyu mzee akijiua leo kisa aibu hii,lawama ni ya nani?
Mi sijui.
Ila tujifunze kuwa kumuaibisha mtu kisa umbile asiloweza kubadilisha sio vizuri.Hamna mtu anapenda.
Ila ndo hivyo the world isn't fair.Siasa ndo zilivyo,watu wanauwana na kuaibishana daily.Labda ndo the cost of power.
Majibaba kibao huko Ni malaya ila hawajachukuliwa video akachukuliwa jamaa.Ndo hivyo yani the world isn't fair.Na huwezi kuwa na vyote.Especially when you are stupid.
Kwa hiyo tujifunze.
Mbona na sisi mnatupigaaga picha secretly hatuongei tunatesa kwa zamuHata kama mna uadui kiasi gani si kitu kizuri kutaka kumdhalilisha mtu ktk jamii.
pili visibility ni very poor.
Tatu mwanaume akitoka kuoga shrinkage au uume kusinyaa ni kitu cha kawaida.
This is extremely very low for secret video shooter.
Tusifurahie aibu za wenzetu hata kama wana mapungufu.
Siku zote angalia niko macho usiku... Fuatilia hata mada zangu nyingi ni za usiku na navinjari mitandao yotekumbe hata wewe unakesha kufuatilia umbea?
Ni kweliAcheni tabia za kuwadhalilisha watu wengine. Hakuna binadamu aliyechagua kiuongo cha mwili wake kiwe vipi siku atakapozaliwa. Kila mtu amezaliwa hivyo alivyo pasi na hiari yake. Ni ulimbukeni na kukosa ustaarabu kumcheka mtu kwa sababu ya mapungufu yake kimwili. Jamii ya watu waliostaarabika, hawafanyi vitu vya kijinga kama hivi mnavyofanya ninyi.
Tunaweza kumhukumu mtu kwa matendo yake lakini hata siku moja hatuna ruhusa ya kumhukumu mtu kwa sababu ya upungufu wa kiuongo chake kwenye mwili wake. Vitu vingine ni kujitafutia laana zisizokuwa za lazima.
Mkuu Nahirat jaribu kuwa mstaarabu siku nyingine kabla ya kuanzisha "thread" za namna hii. Unaweza ukafikiri ni sifa kumbe unajitafutia laana.
KweliSiku zote angalia niko macho usiku... Fuatilia hata mada zangu nyingi ni za usiku na navinjari mitandao yote
Kinachonishangaza kutoka kwenu nyie wanaume kwa issue hii ni:
1.Hamjaona kama mwanamume mwenzenu kadhalilishwa na hii ni dalili pia ya nyie. Kaka zenu. Baba zenu nk kudhalilishwa kwa Mitindo hii.
2.Hamjamlaani kama wanaume mtu mjinga kama Mange kwa kufanya kitendo kisicho cha ustaarabu na amekuwa anafanya Hivi Mara nyingi tu .ingawa mjue Mange Yeye ni mdakaji tu. Kumbe mna wadada wengi uko kwenu hawana courage Ila Mange anawapa Platform ya ujinga huuu.
3.Mambo ya maumbile ni Zawadi sasa kila mtu na mtu wake. Nyie wanaume ni hatari kuanza kufanya mambo yenu kuwa kigezo cha kudhalilishana.
4.mnashusha sana hadhi yenu humu JF na mbaya zaidi CHADEMA Ndo huyu MANGE katibu muenezi Wa siasa. Sasa mkishika Nchi mtampa nini. Ubunge Au uwaziri. Mana alikuwa CCM sasa Kakosa yupo kwenu. Kesho na keshokutwa mtakuta mzigo Wa mboweee hapa au Lissu mana kwa kutazama tu Lissu Janga La VIBAMIA HALITAMPITA MBALI. kazi kwenu. Andaeni maji kabisa ya kunyolewa
kwani zinaa tunafanya peke yetu sema binadamu tuache zinaaWanaume tuache zinaa Mungu hapendi

Aibu sana, ila mwenyewe kishajitetea kuwa ana mashine pale katoka tu kuoga maji ya baridi ndo maana kimeonekana vile....ila huyu baba hapana!!!!!Aisee, ni aibu kubwa sana.
Aibu sana, ila mwenyewe kishajitetea kuwa ana mashine pale katoka tu kuoga maji ya baridi ndo maana kimeonekana vile....ila huyu baba hapana!!!!!
Na aliemrekodi hajafanya vizuri
Hivi angekuwa Le Mutuz ndio kamrekodi mwanamke halafu akaiweka instagram. Pangekalika?
Umeongea point mkuu. Humu kila kukicha kutuchamba. Na pia wanaume wamechukua video nyingi za wanawake kuliko wanaume Nakutudhalilisha kwenye mitandao ya kijamii sasa ona nanyie leo mnavyo umia. Hi tabia sio nzuri jamani. Anyway Mchuma janga hula na wakwaowanaume tukisemwa sisi tunakuwa wapole na tunamkumbuka Mungu idadi za thread humu humu mkimchambua mwanamke hadi kumdharau maumbile yake na kumsema siwezi hesabu. anyway. huyo dada kazingua