Ushauri wangu kwa Luhaga Mpina

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Serekali zote au ya Tz tu yenye huo mkono? Ya Kenya haina mkono mrefu au
 
Acheni kufundisha watu uoga,ushauri wako ni wa kike sana,ndio maana hii nchi haitafanikiwa kwa kuwa na vijana aina yako
 
Bibi Betina acha kimberembere
 
 
Anatafuta sababu ya kufukuzwa chama ili sasa apate public sympathy kama "mkombozi wa watu". Ni strategy nzuri lakini alipaswa apambanie katiba mpya na tume huru ili hata akihama chama awe na uhakika wa kurudi bungeni or better kushinda urais.

Cha ajabu sasa hajaandaa mazingira ya kushindana na Samia akiwa nje ya CCM, yatamkuta kama ya Membe tu. So ushauri ni kwamba angekaa kimya tu adhabu iishe kama alivyofanya Gwajima au zitto. Zaidi angeweza zunguka tu mikoani afanye mikutano mikubwa kueleza kilichotokea, that's all.

Ila wanaomshauri apambane bila malengo wanampoteza tu.
 
Kenya wanadai Katiba Mpya tena 😂😂😂😂

Waafrika ni shida
 
Mkono mrefu upi ikiwa imeshindwa kuwajua waliomshoot Lissu?
 
Ina mkono mrefu kwa waoga. Serikali ni watu na kama ni watu watakufa tu. Tulidai uhuru bila uoga na kukaa kimya kwanini leo tudai haki kwa serikali yetu kwa kukaa kimya? Nani atakupa haki kwa kukaa kimya? Haya matapeli yanapenda waoga na wakaa kimya. Mpina shikilia hapo hapo
 
Hapo anashindana na serikari kwa namna gani wakati serikali hiyo hiyo imeweka utaratibu wa kukata rufaa endapo mtu hataridhika na uamuzi uliotolewa na chombo au vyombo husika vya serikali? Hata kwa watumishi wa umma utaratibu ndio huo? Au wewe unaongelea serikali ipi anayoshindana nayo?
 
Onako hili , public sympathy unaijua wewe ???.

upo kwenye darasa ya siasa za kitakataka ambazo Kwa Sasa ,Kwa muelekeo wa Dunia, HAZIMA NAFASI.
 
R.I.P Rev. Mtikila.
 
Tuelezee makasa yake dhidi ya serikali
 
Hiko unachosema angepambania angepata result hizo hizo, why? Chama hakipendi maana wanajua hivyo vitu vinaenda kumaliza power yao. Maybe kiserikal wasinge muadhibu but kwenye chama wasingemuacha

Na hili suala kuwa anatafuta public support ni false, mpina alishajua waaaay back hatorudi. Even now he has nothing to loose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…