Ushauri wangu kwa Rais Magufuli na Serikali yake kwa ujumla

Wewe kweli Kitombise
 
mimi nilidhani kwa kauli zile tumeshaacha kukopa na tunajitegemea wenyewe.
sasa wameaibika bado wanaishi kwa mikopo
 
hahaha tena wana ulilia kabisa .....poor ccm
 
Wewe kweli ni Kitombise.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua unatania.Lakini huoni kuwa jamaa anaweza kukubaliana na hadaa hiyo akaumiza wengi? Haaminiki na hazimtoshi pia!
 
ni njia ya kuonyesha uzalendo kwa rais wetu, siunajua"mchuma janga hula na wa kwao"
kwa upande wangu mimi nko tayari kuisaidia nchi yangu
 
Kwa kuumiza wengine ili kukusanya mapato????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…