Hawa jamaa walikua TBC FM sasa wanajiita Bongo FM.
Kuanzia leo ila niwashauri wabadilike katika content zao wajikite kuburdani zaidi waachane na vipindi vinavyofanywa na TBC Taifa kama ukulima, ufugaji, ma'suala ya kisiasa na kijamii, hotuba za watawala waachane nayo.
Kwa maoni yangu wakipunguza hayo radio itakua bomba sana.