Ushauri wangu kwa Robertinho kuhusu kikosi cha kesho

Ushauri wangu kwa Robertinho kuhusu kikosi cha kesho

Anza na kikosi hiki utakuja kunishukuru

Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Onyango
Kanoute
Sakho
Chama
Baleke
Phiri
Ntibazonkiza

Mzamiru akae benchi, anarudisha sana mipira nyuma badala ya kushambulia, Chama acheze namba 8 kesho, winga Sakho, winga Saido, wauaji Phiri na Baleke, mapema tu
Hakuna mchezaji anayepiga vizuri long passes kama Mzamiru
 
Mzamiru hupiga pass baada ya kumeza mate,kudundadunda Kama Masai..kifupi anahitaji muda mrefu mpaka kufanya maamuzi ya maana,muda ambao horoya hawatompa
Sikubaliani na wewe. Ingawa alipwaya mwezi wa pili kwenye game kama 4 hivi hakuwa kwenye form ila mechi hizi za mwisho kama 3 hadi 4 amerudi vizuri.
 
Simba Haina wachezaji kabisa.

Ila wewe nawe KIBOKO yani chama acheze no 8 hii Kali ya Mwaka.
 
Umuhimu wa Mzamiru ni mkubwa kwakuwa horoya wanakuja kufunguka,,, halafu Baleke na Phiri sizani
 
Anza na kikosi hiki utakuja kunishukuru

Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Onyango
Kanoute
Sakho
Chama
Baleke
Phiri
Ntibazonkiza

Mzamiru akae benchi, anarudisha sana mipira nyuma badala ya kushambulia, Chama acheze namba 8 kesho, winga Sakho, winga Saido, wauaji Phiri na Baleke, mapema tu
Hata uchezaji wa Sakho nae akishika mpira anarudi nyuma tofauti na Banda
 
Mzamiru anapawaya hasa kwenye kupoteza pasi na kutopeleka mipira eneo sahihi.

Simba inawachezaji wengi wa kubahatisha na sio wa uhakika,ila yote kwa yote kesho Horoya anaanza kupigwa kipindi cha kwanza na cha pili anamaliziwa Simba anavuka kwenda robo.

Unamuongelea mzamiru wa mwaka gan?
 
Back
Top Bottom