Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hakuna mchezaji anayepiga vizuri long passes kama MzamiruAnza na kikosi hiki utakuja kunishukuru
Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Onyango
Kanoute
Sakho
Chama
Baleke
Phiri
Ntibazonkiza
Mzamiru akae benchi, anarudisha sana mipira nyuma badala ya kushambulia, Chama acheze namba 8 kesho, winga Sakho, winga Saido, wauaji Phiri na Baleke, mapema tu
Mzamiru hupiga pass baada ya kumeza mate,kudundadunda Kama Masai..kifupi anahitaji muda mrefu mpaka kufanya maamuzi ya maana,muda ambao horoya hawatompaHakuna mchezaji anayepiga vizuri long passes kama Mzamiru
Anawazidi nini mkude na nyoni huyo kingwendu?Hakuna mchezaji anayepiga vizuri long passes kama Mzamiru
Chuki yako kwa Simba itakuletea sonona bureKama hiyo kesho itakuwa ni siku ya kufa nyani, basi tutegemee miti yote kuteleza. Maana hakutakuwa na namna nyingine.
Magoli mawili aliyofunga Sakho, lile la CAF na goli linaloenda kuwa bora la ligi msimu huu yalitokana na pasi ndefu za Mzamiru kwa Kapombe.Anawazidi nini mkude na nyoni huyo kingwendu?
Sikubaliani na wewe. Ingawa alipwaya mwezi wa pili kwenye game kama 4 hivi hakuwa kwenye form ila mechi hizi za mwisho kama 3 hadi 4 amerudi vizuri.Mzamiru hupiga pass baada ya kumeza mate,kudundadunda Kama Masai..kifupi anahitaji muda mrefu mpaka kufanya maamuzi ya maana,muda ambao horoya hawatompa
Wewe ni kocha wa Horoya?Umuhimu wa Mzamiru ni mkubwa kwakuwa horoya wanakuja kufunguka,,, halafu Baleke na Phiri sizani
Akili zako usifanye zifanane na za watu wanaojielewaWewe ni kocha wa Horoya?
Hata uchezaji wa Sakho nae akishika mpira anarudi nyuma tofauti na BandaAnza na kikosi hiki utakuja kunishukuru
Manula
Kapombe
Tshabalala
Inonga
Onyango
Kanoute
Sakho
Chama
Baleke
Phiri
Ntibazonkiza
Mzamiru akae benchi, anarudisha sana mipira nyuma badala ya kushambulia, Chama acheze namba 8 kesho, winga Sakho, winga Saido, wauaji Phiri na Baleke, mapema tu
Mzamiru anapawaya hasa kwenye kupoteza pasi na kutopeleka mipira eneo sahihi.
Simba inawachezaji wengi wa kubahatisha na sio wa uhakika,ila yote kwa yote kesho Horoya anaanza kupigwa kipindi cha kwanza na cha pili anamaliziwa Simba anavuka kwenda robo.