Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu, huu ni ushauri wangu kwa timu yangu ya Yanga ila sijui kama huu ushauri utawafikia viongozi wa juu Yanga, kwamba:
Yanga wakifunguka wamekwisha panga iwe kucheza 'defensive with counter attack', ama wataweka kumzuia Mwarabu kwa dk. 45 za mwanzo, basi kupindi cha pili Mwarabu ataingia kwa wasiwasi.
Hii ni kwasababu hatataka kwenda kwenye kupiga penati kwa sababu penati hazina mwenyewe, na hapo Yanga ndiyo anaweza kutumia mwanya kumuadhibu.
Kama ikatokea Mwarabu amepata goli kwenye kipindi cha kwanza, basi kipindi cha pili lazima Yanga wafunguke. Maana hawana tena cha kupoteza, na hapo ndiyo linakuja suala la kuchezesha washabuliaji wawili Mayele na Makambo.