Ushauri wangu kwa vijana watafuta ajira

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
239
Reaction score
160
MM ni kijana niliemaliza chuo kwa fani ya manunuzi na ugavi kutoka taasisi ya uhasibu Tanzania baada ya kumaliza nikawa najitolea Nikiwa na lengo la kupata uzoefu wenye kunipa ushindani kwenye soko la ajira nilifanya hivyo kwa miaka zaid ya mawili ila final nikaamua kuacha na kujiajir na sasa maisha yanaenda nje ya ajira

VIJANA wengi graduates wanandoto za kufanikiwa serikarini au kwenye mashirika binafsi huku wakisahau kujiajir kwa kisingizia cha mtaji ila wanamiliki smartphones ya laki 4 no
Leo naomba niwashaur VIJANA wwzangu kuwa ukiwa na mtaji wa 1ml unaweza kutengeneza ela nzur baada ya miezi kadhaa bila KUTUMIA nguvu kubwa mfano una nunua line ya uwakala ya tigo pesa, airtel money na m-pesa ambayo moja bei zake ni 180000, 200000, 240000 haizidi hapo assume ume nunua line 3@200000 Jumla ni 600,000 umenunua mwavuli mkubwa kwa 35000 umenunua meza na kiti kwa 25000 then unakua na laki 3 kwaajili ya kuziendesha his line kwa mwezi haukosi commission ya 120000 kwa kila line mara line tatu umepata hapo meza umeiweka tu sehem nzur unafanya biashara nk

KWA kijana ambae atakua tayar kufanya kazi hizo na anamtaji kiasi kadhaa anitafute nitamuuzia line za uwakala afanye kazi aangalie sehem nzur ya kuweka meza yake

KWA atakaekua tayar nacheki 0716671919 napatikana temeke dar es salama
 
Baki na iman hiyo wakat VIJANA wezako wanasonga Mbele na Imekua kawaida wa vijana kuwa na majibu ya ya ghafla hii inaonyesha kukata tamaa
 
ha haa
mh....this life sucks...!
mleya uzi sikucheki ww usinifkirie vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…