Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu mengi hufanyika kwa sababu ya tamaa zisizo na mipango. Kumbuka ulicho nacho nacho ndio chako unapaswa ujivunie nacho na uridhike nacho. Tamaa mbaya ndio chanzo cha maovu kote duniani na watu wengi wamepotea kutokana na tamaa.
Tamaa ya maisha ndio chanzo cha maovu na ni kwa sababu ya tamaa hata watu wamesahau Amri za Mwenyezi Mungu.
Ahsante kwa ushauri,nipo club ngoja nirudi zangu home baadae niwahi church..
.That is very true !!! kazi na sala...Mungu wangu nimwombae ananipigania siku zote za maisha yangu kamwe hatoniacha nianguke.....sitaki makuu....nikipata namshukuru Mungu, nikikosa namshukuru Mungu pia, namuomba azidi kunifungulia milango na fahamu za kuona opportunity za mafanikio...!! Amen.
.
Maneno yako yamenikosha sana mkuu, Ubarikiwe sana.
Ubarikiwe pia mkubwa...Jast Bleiz.. UMENIFURAHISHA SANA MKUU,Starehe hazikatazwi mkuu ila ziwe na kiasi ila maadamu umeamua kurudi sasa nyumbani ili kesho uwahi church hilo ni jambo la busara sana, Mungu naye umpe nafasi yake. Kila la kheri na Mungu akubariki.
Amen...Tubarikiwe wote....Hakuna linaloshindikana kwa Mungu !!!
Ahsante kwa ushauri,nipo club ngoja nirudi zangu home baadae niwahi church..
Msifanye mambo kwa pupa mjiepeshe na tamaa za dunia, fanyeni mambo kwa mipango sio mbio mbio, kama uwezo wako ni mdogo kwanini watamani mambo makubwa ambayo yako nje kabisa ya uwezo wako, Maovu mengi hufanyika kwa sababu ya tamaa zisizo na mipango. Kumbuka ulicho nacho nacho ndio chako unapaswa ujivunie nacho na uridhike nacho. Tamaa mbaya ndio chanzo cha maovu kote duniani na watu wengi wamepotea kutokana na tamaa.
Tamaa ya maisha ndio chanzo cha maovu na ni kwa sababu ya tamaa hata watu wamesahau Amri za Mwenyezi Mungu.
Na hata wachumba jamani mtafute wa level zenu na mtafute kwa nia ya mapenzi na sio mali.