Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
1. Hawa watu hawana timu, hakikisheni mnauonya uongozi wa uwanja wa Mkapa kuhusu kuwafungulia mageti ya pembeni Yanga SC jina la utani Utopolo ili waingie uwanjani, imekuwa tabia sasa Utopolo kupitia milango mingine mbali na ule wanaotakiwa kupitia wachezaji.
Kuna mawasiliano huwa yanafanyika baina ya Utopolo na uongozi wa uwanja kwa sababu haiwezekani kila mechi wawe wanafunguliwa geti la kuingilia.
2. Utopolo hawatatumia basi lao siku hiyo, hakikisheni hilo mnalijua mapema ili mitego iwanase.
3. Hakikisheni msikubali kupangiwa muda wa kuanza mchezo na TFF, huo muda utakuwa umepangwa na Utopolo ili mganga wao aweze kukamilisha kazi yao.
4. Mechi yao vs Red Arrows imethibitisha kuwa wao ni watu wa mipango zaidi kuliko ubora wa timu, haiwezekani ukaifunge Kaizer Chiefs mabao 4 halafu uje kuhangaika na kucheza soka mbovu vs wazambia hao ambao wamejichokea.
5. Wao sasa hivi wanaitwa Hamissa Mobetto FC maana walichokifanya jana ni aibu kubwa kwa taasisi yao.
Soma pia: Ngao ya Jamii, Yanga atashinda mechi jumla ya mabao kuanzia 3 nk. Aziz Ki/Dube/ Mudathir/ Baleke kuwanyoa Simba