Elections 2010 ushauri wangu kwa wabunge wa chadema na uongozi mzimz....

Elections 2010 ushauri wangu kwa wabunge wa chadema na uongozi mzimz....

PapoKwaPapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
380
Reaction score
45
Kama kilaza {kikwete} ataapishwa na kuwa raisi, inamaanisha kwamaba chadema hawakuwa na la kufanya ilkumuondo asiwe rais kwa mujibu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa.
Kwa upande wa dr wa ukweli [SLAA} ningependa iundwe kamati ya watu kama watatu au wanne na dr wa ukweli akiwa mwenyekiti wake, kamati iyo iwe na kazi ya kuwasimamia na kuwakumbusha wajibu wa wabunge wote wa chadema wawapo majimboni kuongoza ufanisi wao na kuwasaidia ili wasijisahau na baada ya miaka mitato waonyeshe kwali wamefanya kitu.
Mfano mzuri ni Zitto baada ya kuonyesha maendeleeo kwa vitendo watu wa huko wamechagua upinzani kwa karibu asilimia 80.
Kwa upande wa wabunge wa chadema wajitolee angalau asilimia 20 ya mishahara yao itumike kwenye kuisaidia jamii mfano hospitali,shule,vituo vya kulelea yatima nk.ni kidogo lakini itakifajya chadema kiwe chama cha kijamii zaidi.
nawakilisha kwa uongozi.
Mungu ibariki chadema,Mungu ibariki Tanzania.
 
Hawatakiwi kukumbushwa wanatakiwa kukumbuka wenyewe kwani ahadi walizokuwa wanatoa kwa wananchi ni kuwa watawatumikia na kushirikiana nao ili kuleta maendeleo yao, wakianza kukumbushwa watakuwa hawana tofauti na wale wabunge wa kile chama cha M...
 
Tena waende hukohuko sio wahamie dar! au kama walikuwa wakulima Ghafla wanaanza kuwa wafanya biashara!
watafute bajeti za serekali wahakikishe vilivyo andikwa kuwa vitatekelezwa majimboni mwao vinatekelezwa kwani hizo ni KODI ZETU na sio hela za CCM.
 
Back
Top Bottom