#COVID19 Ushauri wangu kwa wanaopata COVID-19

#COVID19 Ushauri wangu kwa wanaopata COVID-19

Midazolam

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
807
Reaction score
1,340
Naomba niwasalimie kwa jina Yesu aliye hai.

Naomba kushare na nyie naamini itawasaidia Watanzania wenzangu.

Mimi ni moja wapo wa watumishi wa afya na nimekuwa nikuwahudumia watu mbali mbali pamoja na wenye matatizo ya upumuaji, ninachofurahia na kupendeza zaidi sina ubaguzi katika kumsaidia mgonjwa nashukuru kwa hilo[emoji120]

Mimi nimeshaugua sana huo ugonjwa zaidi ya mara mbili sasa na kwa nini naugua hivyo nimetaja hapo juu[emoji867]pamoja na hayo fanya haya kabla au baada ya kuugua huu ugonjwa nimesaidia watu wengi sana.

1. Mazoezi

Mimi ni mtu ninayependa mazoezi sana, kuna aina nyingi za mazoezi, pamoja na kikimbia, kuruka kamba , mazoezi ya viungo, ila mimi nafanya mazoezi ya kunyanyua sana vitu vizito , wabeba vyuma kule gym wazee wa kutengeneza vifua.

2. Kunywa maji mengi

Kutokana na mazoezi pia maji kwangu ni kama dawa na kinywaji changu nakunywa sana, na siyo tu ufanye mazoezi ndo huwe na kawaida ya kunywa maji, hata kama hufanyi mazoezi maji ni muhimu kwa afya kunywa sana nasema kunywa sana maji.

3. Matunda
Kula sana ndizi, machungwa, matango nitaelezea nguvu ya tango mbele kwa huu ugonjwa.

4. Kula aina ya viungo.

Na hapo ndo penyewe. Kitunguu maji pamoja na Tango.
Hakika hapa niliona nguvu kubwa sana ya hivi viungo, jana baada ya kutoka kazini asubuhi. ilikuaje ni hivi, kila mtu huu ugonjwa ina mtokea kwa namna tofauti ndani ya yale dalili zile zile zinazojulikana, ila kwa wafanya mazoezi mara nyingi hii ni mojawapo

KICHOMI
Ndani ya siku tatu nyuma hii dalili imenisumbua japo nilikuwa naenda mazoezini hivyo hivyo japo kama nilijiona niko salama nikajiuliza mambo kibao mbona hii tatizo sijawahi kuwa nayo kuna nini kumbe covid.jana hiyo nimerudi nyumbani nikasema ngoja nilale kidogo nifidie usingizi ile kitendo cha kubadilisha tu nguo chumbani nikasema hapa kuna tatizo nilikamatwa na kichomi cha gafla mara mbili yake nikasema hapkwanza[emoji3][emoji3]

Hizo nilishindwa kukaa chini, nikatoka nje fasta nikawahi kwenda kuchoma sindano ya maumivu hapo dispensary karibu yangu.

Naomba nielezee kidogo hizi vituo vya afya kidogo kweli mnaumiza sana watu, nashukuru kwa sindano ya kutuliza maumivu japo haikufua dafu

Namwambia daktari nina kichomi na ilianza siku tatu nyuma ila nahisi kama inapanda sasa na kuongezeka, daktari akasema ngoja tukupime mkojo na malaria ni sawa kupima ila haikuwa sahihi kwa mimi wakati ule, nikasema niwahi kazini kwangu au nipige simu nifuatwe na ambulance nikasema ngoja nisikilizie kwanza[emoji3][emoji3]

Nikarudi nyumbani nikasema ngoja nifanye vile ninavyowashauri watu kule hata kama wanaendelea pia kutumia dawa zetu za hospitali ni muhimu zaidi

Nisikilize hapa sasa

Nikachukua tango nikaitafuna haraka haraka.

Nikachukua kitunguu maji nikachanganya tena tango nikawa nakunywa kama anayekunywa chai unakunywa huku unasikilizia,

Nikachukua tena kitunguu [emoji3][emoji3]

unachukua kitambaa kisafi unafunga ile kitunguu alafu unaiponda ponda kama unaisaga , nikaifunga kifuani na kuipaka paka kwenye kifua nikatulia kwenye kochi ndani kama nusu saa hivi hakika nilipona na saa nane nikaenda kutazama mpira wa manchester united.nilivyomaliza kutazama mpira nikaenda mazoezini.nilivyorudi jirani yangu ananiuliza wewe si ulikuwa hoi ukabebwa kwenye pikipiki unakimbizwa dispensary nikamwambia unaota wewe[emoji3][emoji3].

Mwisho nikamwambia unajua matango na vitunguu wewe. Hapo kwenye kupaka vitunguu maji kifuani pia unaweza kuipaka kwenye unyayo wa mguuni kwako na kuvaa soksi nimekuwa nawafanyia wagonjwa hivyo kwa siri au kuwaambia ndugu zao wakati ule wa kuwapa chakula na wanawafanyia hivyo hakika wanatoka na kurudi nyumbani na kushukuru na kesho yake wanatolewa kwenye oksijeni ila sijawahi kuwaambia hata staff wenzangu, nasikia tu kwenye ripoti mbona nikiwa nao kesho yake wanatolewa oksijeni wanapumua wenyewe chukua hiyo.

Usiache kufanya mazoezi. Kula sana matango, vitunguu, matunda kama ndizi na chungwa, kunywa sana maji iwe ya moto siyo ya baridi.T angawizi pia ni muhimu

Chanjo ya corona inatolewa nendeni mkapate ila mimi bado sijaichoma ipo siku nitaichoma ila siyo kwa sasa.
 
Hii hapa

 
Umeshauri lknii nilivyoona kwamba unahisi unaumwa alafu ukaenda mazoezini kuendelea kuambukiza watu ndo nimecheka zaidi😆😆
 
Umeshauri lknii nilivyoona kwamba unahisi unaumwa alafu ukaenda mazoezini kuendelea kuambukiza watu ndo nimecheka zaidi[emoji38][emoji38]
Hapana unajua maambuzi ya covid ni mpana sana
 
Mbona kwa haya unayofanya, corona kwako ilitakiwa ipite kama mafua tu kwa mbali, lakini sio kufikia hali uliyofikia. Una umri gani?!
 
Back
Top Bottom