Ze Rock
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 270
- 565
Salaaaam,
Jamani jamani mukiwashindwa badala ya kusema sijui nimemtafutia mchepuko mara nimemtimua mara nimemuacha kiaina basi muendelee tu na maisha yenu bila purukushani.
Na tena mutoe muongozo kuwa mumeziacha na tukija dm kuomba mawasiliano toeni ushirikiano tusaidiane majukumu, ili sisi tulio ma single tuji savie wengine tunaweza kuwamudu mbali na hizo changamoto zote munazozitoaga.
Achaneni kwa amani na sisi tupate kwa amani