Ushauri wangu. Urais 2025 Mwinyi aje agombee Bara

Ushauri wangu. Urais 2025 Mwinyi aje agombee Bara

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Mwinyi utendaji wake ni mzuri na hana makelele. Anafanya mambo yake kimya kimya na yanaonekana. Ndo nimeelewa kwa nini Magufuli alimtaka Ali Mwinyi.

Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania Bara kwa kipindi hiki. Samia nadhani aende Zanzibar au sasa apumzike. Mwinyi hata Elimu anayo vizuri. Pia hana makuu. Anafanya kazi zake kimya kimya bila kelele.

Tunaona. Mi nipo Zanzibar naona kwa sasa mambo yalivyo.
 
Urais wa ukoo kwenye watu milion60 mwinyi tu ndio anaweza kuwa rais 2025?
 
Haya mambo ya kurithishana kiukoo nadhani tuyafikishe kwenye tamati. Hivi Tanzania hii imekosa kabisa vijana wazuri wa kuweza kuiongoza Tanzania hadi tumwone Mwinyi pekee? Tunahitaji sura mpya na ngeni bwana. :AYOOO:
 
Back
Top Bottom