Ushauri wangu wa bure kwa viongozi wa Simba kama kweli mko serious na mnataka ubingwa msimu huu?

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Mechi ya leo tutamlaumu bure Chasambi na kumsingizia kila jambo, ila ukweli unafichwa.Ukweli ni kuwa watu wanaosafiri na timu yetu mikoani sio waadilifu, wameanza kutuchomesha mahindi, mimi nilikuwa kimya kwa muda mrefu na nilitamani siku moja niwatahadharishe Simba kabla ya hata mechi na Tabora lakini nilikaa kimya kwa sababu wajuaji wengi humu na wengine wangenitukana, leo imedhihirika.

Ukweli ni kuwa vita ya kushindana na Yanga ni danganya toto, hatuwezi na hatuna ubavu wa kushindana na Yanga kupambania ubingwa.Zipo sababu na nitazieleza.

1. Watu wetu wanaosafiri na timu wana walakini sana, mechi ya leo tangu asubuhi ilionekana ngumu, hata mpira ulipoanza gemu ilianza kuwa ngumu kwa Fountain Gate kuanza kutushambulia jambo ambalo halikuwa la kawaida kwetu.

2. Kipa wa Fountain Gate ameokoa michomo mingi sana leo, sio kwamba anajua saaana kudaka, Noble huyo huyo msimu uliopita alikuwa Tabora Utd na tukamkanda mabao 4, leo Noble nyota wa mchezo.Ile michomo aliyokuwa akiokoa kwa mimi navyojua mambo ya nje yanayofanywa na Simba niliwaambia wenzangu ngoma hii leo ngumu sana kwetu.

3. Wenzetu wa Utopolo wana kikosi kazi kilichopewa bajeti kuhakikisha timu yetu inaangusha pointi iwe mikoani ama Dar es salaam.Kikosi Kazi mara baada ya kufeli kule Tabora kilipiga kambi Dodoma, kikaenda na wachezaji wetu hadi bungeni kikiwa mguu kwa mguu, hadi kambi ya wachezaji wetu kipo, mnaosafiri na timu yetu mmekalia majungu tu na kutuumiza roho zetu.

Soma Pia: Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

4.Chasambi hakuwa na nia mbaya kama wewe ni mtu wa mpira, ila Chasambi alipigishwa shoti na kikosi kazi cha Utopolo kinachokula dili na watu wetu ndani ya timu.Chasambi ndio alitoa pasi ya goli la Ateba lakini huyo huyo akapigishwa shoti arudishe goli alilo assist, wenye D mbili tu ndio wanaoweza kunielewa.Chasambi kalazimishwa na majini ya kikosi kazi, haikuwa nina yake kufanya vile.

5.Wenzetu wana kikosi kipana na kikosi hatari sana, wana timu nzuri lakini wana kikosi kazi nje ya uwanja kizuri sana, tangu miaka ile Yanga nje ya uwanja hawawezekaniki, Simba wanaiga na wenye kazi yao ni wale wa Jangwani, wale wakiamua na wakiwa wamoja hata karne inaweza kupita Simba asimfunge.

6.Mimi nimeshuhudia sana enzi zile za Lunyamila na Mohammed Hussein wakimuonea sana Mohamed Mwameja.Tangu enzi za akina marehemu Ngozoma Matunda, Yanga ni mbabe sana nje ya uwanja.

7.Tutulie, tutulie lakini wenzetu mnaosafiri na timu mnatutia sana machungu sisi wanachama, leo mmetuumiza sana moyo wetu, Fountain Gate gani ile ya kutuzuia tusipate pointi tatu kama baadhi yetu hamjachukua maokoto kwa SMG pale Posta?

8. Bora mechi za mikoani zina nafuu lakini pale KMC ndio tutajuta kuzaliwa, pale pameshaharibika kabisa kabisa, mechi za Dar es salaam ni ngumu mno kwetu kuliko mikoani, kama nabisha tusubiri tuone.

Mikoani bado Ken Gold, Namungo na Coastal Union, lakini Dar es salaam bado kuna kazi nzito sana, wachezaji wetu nao pamoja na kuwa wanatupatia matokeo lakini wa kawaida sana wakati mwingine, tumeumia ila mimi nimeumia sana leo.
 
Nimekuelewa ila huu mpira wa bongo huu usikufanye uumie huu ni mpira usio kuwa na formula uchawi mwingi sna kuna nguvu za giza watu wanaroga kama hawana akili timamu mimi hata simba ifungwe na Yanga miaka ishirini mfululizo wala siumii,bongo kuna ujinga mwingi sana.
 
Hatimaye Milio Imeanza Kusikika...
 
Yaani draw tiali halipakaliki?? Mngefungwa mechi 2 kama tanga vipi?. Mashabiki maandazi fc.
 
Nimekuelewa ila huu mpira wa bongo huu usikufanye uumie huu ni mpira usio kuwa na formula uchawi mwingi sna kuna nguvu za giza watu wanaroga kama hawana akili timamu mimi hata simba ifungwe na Yanga miaka ishirini mfululizo wala siumii,bongo kuna ujinga mwingi sana.
Ni kweli mkuu,mpira wa bongo una mambo mengi ukikubali kuumia tayari umekaribisha maumivu,bora kuwa kuwa mpole tu
 
Back
Top Bottom