Ushauri watani zangu Kagera acheni kujidanganya, kahawa ya robusta inayolimwa kirahisi mkoani kwenu kamwe haiwezi kufikia ubora wa arabika!

Ushauri watani zangu Kagera acheni kujidanganya, kahawa ya robusta inayolimwa kirahisi mkoani kwenu kamwe haiwezi kufikia ubora wa arabika!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hili linahusu watani zangu wa bukoba wanaoamini kahawa yao Robusta yenye ladha chunguuu sana ati ni bora kuliko arabica ya kulee Kilimanjaro

Poleni sana Kwa kuamini msiyoyajua!

Hakuna anayeipiga vita robusta yenu hata kidogo ila kwa kiwango kamwe haifikii arabika!

Arabica ni bora na inapendwa sana kutokana na ladha yake nzuri na ya kipekee kabisa

Arabica ni bora kuliko robusta yenu mnoyoipigia debe mkiamini kuwa eti no bora kuliko arabica
Naenda hotel yeyote agiza kahawa ni Arabica Arabica

Arabica inafaa kwa flavors zote yaani Cappuccino ,Americano ,Espresso ,Latte ,Caffè macchiato, Caffè mocha, Cortado ,Flat white Café au lait ,Doppio n.k
 
Msimu Jana tumeuza kg1 sh 7400
Nipo naongeza Miche hata 1500
 
Back
Top Bottom