Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Katika maeneo ambayo tunapokezana sana vifaa vya kulia chakula ni migahawa ya kitaa na maeneo ya wauza supu. Unakuta kijiko kimoja kimepita kwenye midomo ya watu 20.
Ninachotaka kushauri hapa ni vema watu wa afya mtoe agizo rasmi kila kijiko kikitumika siyo kioshwe na sabuni na maji safi na kiingizwe kwenye maji ya moto ili anapopewa mteja kitoke humo.