Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Sidhani kama hilo hufanyika kwa asilimia kubwa, wengi unaweza kuta wanasuuza tu hata bila sabuni hasa maeneo ya uswazi.Wengi ndo wanafanya hivyo sikuizi
Mkuu kwa niaba ya wengine.Go to places zina fit your standards. Kama sehemu unajua ni wachafu kwanini unaenda?
Haya maplastiki nayo yapigwe marufuku migahawani.Nilikuwa Tunduma nikaenda kula sehemu moja apo inaitwa Kilimanjaro. Asee hao watu wote pale ni wachafu sana. Hawaoshi vyombo vizuri. Alafu bado wanatumia maplastiki.
Tuchukuwe hatua kwa hatma ya afya zetu.ku maintain hali ya usafi ni gharama
kwa chakula cha 1500, sahau kuhusu hilo
Mm ndo Mana natembeaga na sahan ,kikombe na kijiko changuKtk maeneo ambayo tunapokezana Sana vifaa vya kulia chakula ni migahawa ya kitaa na maeneo ya wauza supu.unakuta Kijiko kimoja kimepita kwenye midomo ya watu20.
Ninachotaka kushauri hapa ni vema watu wa afya mtowe agizo rasmi Kila kijiko kikitumika siyo kioshwe na sabuni na maji safi na kiingizwe kwenye maji ya moto Ili anapopewa mteja kitoke humo.
Asee ingekuwa poa sana hii.Haya maplastiki nayo yapigwe marufuku migahawani.
kwa kutokula kwenye migahawa uchwaraTuchukuwe hatua kwa hatma ya afya zetu.
Tukiachana na ile sumu inayotolewa kwenye maplastiki pia haya mavyombo yanagandisha uchafu Sana kuliko sahani za mfupa na udongo.Asee ingekuwa poa sana hii.