USHAURI: Watumishi wa umma wapewe likizo miaka 3 wakajiajiri

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Kuna watumishi wa umma wenye ujuzi na uzoefu wa mambo mbalimbali, na wangependa wawe wajasiliamali wapewe likizo ya miaka mitatu wajiajiri na wakifanikiwa basi wapewe mikopo ya 100M ya kuendeleza biashara zao. Hawa watumishi wakifanikiwa watuajiri vijana wengi
 
Likizo ipi labda unayozungumzia?
Ya malipo au bila malipo?

Kama ni ya bila malipo, mtumishi yeyote ana haki ya kuomba kwa muda wa mwaka mmoja au zaidi.
 
Wapewe likizo yenye malipo iwe motisha
 
Back
Top Bottom