Ushauri: Wauzaji wa vifaa vya umeme, jiongezee faida kwa kuuza vifaa hivi

Ushauri: Wauzaji wa vifaa vya umeme, jiongezee faida kwa kuuza vifaa hivi

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Kuna kifaa cha ku-control joto katika mashine za kutotolea vifaranga kinaitwa temperature control,Vifaa hivi vimekuwa gharama sana ambapo imekuwa ikiwalazimu baadhi ya mafundi kuagiza kifaa hicho toka kenya ili kukabiriana na gharama.

View attachment 291296

Kifaa hiki sasa kinatengenezwa hapahapa tanzania ambapo fundi ambaye alikuwa anatakiwa kughramia kwa kiasi cha karibia 120000,ili mfumo wake wa ku-control joto uanze kufanya kazi sasa itamgharimu chini ya elfu sitini tu kukamilisha mfumo huo kwa kutumia kifaa hiki.

Kifaa hiki kimekuwa bara na kimekua kikitoa matokeo chanya katika ufanyaji wake wa kazi na hivyo kuwa tumaini jipya kwa mafundi watengenezao incubator.

Hivyo kwa wewe mdau unae uza vifaa vya umeme unaweza ukajaribisha kuuza vifaa hivi ili ujiongezee faida katika biashara yako.

Kama utakubaliana vifaa ambavyo utakuwa unaviuza tutakuwa tayari kuvibadilisha vile ambavyo vitaonekana kuharibika nje ya guarantee!
.
Kwa maelezo ya kitaalamu na jimsi kifaa hiki kinavyofanya kazi soma hapa

Kwa anaye taka kuuza vifaa
 
Back
Top Bottom