Kila laheri, kuwa tu makini hata kama ni wife msijeshindwa kupeana unyumba kisa stress za duka na maneno kibao.....Wife ndio atakuwa hapo full time Monday to Friday ila Mimi weekend ndio ntakuwa nakaa hapo
Na jioni ntakuwepo mm Kwa ajili ya kupeleka order za gas Kwa wateja
Mkuu unafahamu kusababu vizuri apo laki na nusu iko wapi ulipo iona????πFaida ya laki na nusu kwa siku kwenye duka unaichukuliaje mkuu??
Hiki nini umeandika na wewe ??Mkuu unafahamu kusababu vizuri apo laki na nusu iko wapi ulipo iona????π
Yaani unajiandaa kabisa kupata faida ya laki nne unusu kwa mwezi bwaashee? Kama ni hivyo hakikisha hiyo faida ni baada ya kutoa gharama zote ikiwa ni pamoja na kujilipa wewe na mkeo, unainvest milioni 7 ya Mkopo wa saccos ujue! Rejesho siyo chini ya laki 5 kwa mwezi ujueWakuu natarajia Mwezi June 2024 nichukue mkopo wa 7ml kutoka saccos
Malengo ni kufungua duka ya reja reja hapa kijijini kwetu Moshi Kilimanjaro plus vinywaji vya barid na moto hasa nyakati za ucku
Ntaweka hapo
Gas
Mpesa
Tigo pesa n.k
Profit at least 15000 per day
Shop ntamuweka hapo wife mm ntaendelea na shunguli zangu
Any comment au USHAURI wowote kwenye wazo langu hili
Duka la reja reja linalipa sana....kama utaweza kuweka genge kwa pembeni itakusaidia sana....changamoto ninayoiona kwako ni kuweka pombe na kumfanya mkeo muhudumu...hiyo ni balaa kubwa sana sana.Wakuu natarajia Mwezi June 2024 nichukue mkopo wa 7ml kutoka saccos
Malengo ni kufungua duka ya reja reja hapa kijijini kwetu Moshi Kilimanjaro plus vinywaji vya barid na moto hasa nyakati za ucku
Ntaweka hapo
Gas
Mpesa
Tigo pesa n.k
Profit at least 15000 per day
Shop ntamuweka hapo wife mm ntaendelea na shunguli zangu
Any comment au USHAURI wowote kwenye wazo langu hili
I grow up and now with experienceUsije ukapigwa tena kisa kama hiki ulicho kileta hapa mkuu. [emoji2]
Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo
Mimi nimechukua mwaka huu, lakini ni wa mwaka mmoja. Mwezi wa tatu namaliza deni. Nilichukua ninunue boda boda lakini huyu jamaa niliyempa boda boda badala ya kuleta hela analeta stories. Yaani najuta kwanini nilichukua. Kuna wakati natamani niichukue halafu nipige bei ili nikalipe deni...www.google.com
Hapo nimekuelewa brother ndio mana natak nimuweke wife ila mm ntakuwa suppler wa mizigo Kwa wateja Kwa kutumia pikpik yangYaani unajiandaa kabisa kupata faida ya laki nne unusu kwa mwezi bwaashee? Kama ni hivyo hakikisha hiyo faida ni baada ya kutoa gharama zote ikiwa ni pamoja na kujilipa wewe na mkeo, unainvest milioni 7 ya Mkopo wa saccos ujue! Rejesho siyo chini ya laki 5 kwa mwezi ujue