Ushauri wenu juu ya Nissan extrail

Ushauri wenu juu ya Nissan extrail

MANIAJE

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
244
Reaction score
461
Wadau kuna kitu mnitoe Tutani.....

Hivi Nissan Extrail injin zake zote ni sawa au zingine zinatofautiana???

Na pia kama zinatofautiana ni model IPI na IPI????

Nafahamu Nissan zina ugonjwa wa kuzima zima injin,
Kingine Dosari yake yake nini????

Naombeni wataalam wote tutiririke

Na kuna jamaa nataka nimvue hi gari kaniambia nimpe milion 7 gari ni namba D naomba ushauri wenu nisije kulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada kumbe majibu unayo na unayajua..??
"Nissan zina ugonjwa wa kuzima zima Engine"

Swali dogo kwako,....umewahi kumiliki Nissan ngapi ambazo umezitumia kama saplings kwenye research yako na kuja na majibu kuwa zinazima zima engine..?

Kwa muktadha huo nakushauri usimiliki Nissan itakutesa kutokana na perception yako..

Sasa Nissan ukiipeleka kwenye gereji za Vitz kwa nini isizime zime..?

Dah! Umemkimbiza jamaa aisee....
 
Mzee mwenzangu wa Nissan chonde chonde mpe Majibu mdau japo hajauliza vizuri sana ila mpe tu 'zile' nondo zetu.
[emoji16][emoji16]Nilijaribu kum-challenge kidogo lakini naona kala kona mazima...

Labda kwa ufahamu wangu na wengine wataongezea au watanirekebisha nitakapokosea..

Kama alivyo uliza...Ni kweli kabisa NISSAN x trail zinakuja na engine tofauti tofauti kulingana na model/generation..

Generation ya kwanza ambayo inaazina kama sikosei 2001 mpka 2007 hizi ni zile NISSAN xtrail common ambazo zimezoeleka sana na wengi kwa sasa wanaziita old model...generation hii inakuja na Engine QR20 abayo ni injini ya kawaida kabisa...petrol natural aspirated with DOHC...aluminium block pamoja na cylinder head.
QR 20 inamilikiwa na Nissan moja kwa moja na 2004 iliboreshwa na kupata MR20

Generation ya pili ya Nissan x trail inaanzi 2007 mpka 2013 kama sijakosea..nitarekebishwa..Hizi ndiyo zile NISSAN XTRAIL kibongo bongo tunaziita new model but infact siyo new model ni generation ya kati...inafanana sana muundo wa body na x trail generation ya kwanza isipokuwa dashboard yake haipo kati kati kama generation ya kwanza.
Hii generation ya pili chache sana zinatumia M9R engine na most of them zinatumia MR 20 ambyo ni injili zilivyotengenezwa kwa Ushirikiano wa NISSAN NA RENAULT...injini hii ilizalishwa kuipiku QR20 ambapo hizi injini mbili zinfanana sana isipokuwa MR 20 ina power zaidi.

Generation ya tatu ya NISSAN XTRAIL inaanzia 2013 mpaka sasa....hii ni Nzuri sana kimuonekano na haifanani kabisa na generation ya I na II....ipo classic sana na bei ghali sana.....generation hii wameendelea kutumia MR20

NB.. Engine zote nilizozungumzia ni petrol...kwa upande wa diesel sielewi kitu..

********Swala la ENGINE ZA NISSAN kuzima zima..
Kuna watu wameshatumia x trail kwa miaka zaidi ya 8 na hawajawahi kukumbana na hayo majanga....wapo pia waliyokutana nayo..

Why...?
Nissan x trail ina sensors nyingi kwenye engine...sensor moja ikizingua lazima gari lizingue.
Hivyo basi inahitaji matuzo sana na usioshe engine kwa maji kama hakuna ulazima.

Injini za x trail hazipigiwi ramli...ukihisi tatizo fanya diagnosis...hapo utakuta ni sensor tu imekufa..utainunua na fundi aichomeke maisha yaendelee...

Sasa ukimpelekea fundi kanjanja aliyezoea injini za 3s za rav 4....hapo lazima alalalimike kuwa x trail ni mbovu na hazitengenezeki.

Kuhusu kuchemsha.....hizi ni MYTHS tu pamoja na kujitakia mwenyewe.

Gari la X Trail halitaki maji ya bomba au kisima...weka genuine coolant.....hakikisha thermal start infanya kazi vizzuri, feni inafanya kazi vizuri, weka recommend engine oil...uzingatia hayo suala kuchemsha utalisikia kwa jirani tu.

Moreover....
Engine za xtrail zingekuwa ni mbovu kama wabongo wengi tunavyodai, NISSAN MOTOR CORP hiko Japani wasingeendelea kuzitumia kila mwaka katika uzalishaji wao....
Tatizo lipo kwetu sisi wapenda vya bei rahisi..

Otherwise Nissan ni gari poa sana ukifunga spea mkataba, balance kwenye mwendo na comfortability.

Nawasilisha.

NB..wngine zote nilizozungumzia ni petrol...kwa upande wa diesel sielewi kitu..

Sijakimbia . Simu ilizingua kidogo. Nashukuru kwa ufafanuzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Nissan etrail, tatizo kuu la hii gari ni sensor, sensor ikizingua tu inaletaga balaa sana, kingine ni utunzaji wako tu, kwa sababu gari hii inatumia umeme zaidi na huwa haiitaji kuweka spear feki/au isiyo ya nissani lazima itakusumbua, huwa natoka nayo mbeya to tanga, then dodoma haijawahi sumbua kabisa.

Kingine ukienda kuosha jitahidi ukaoshe kwa wenyewe utaalaam hasa engine.

Natumai nimekusaidia kwa sehemu.
Wadau kuna kitu mnitoe Tutani.....

Hivi Nissan Extrail injin zake zote ni sawa au zingine zinatofautiana???

Na pia kama zinatofautiana ni model IPI na IPI????

Nafahamu Nissan zina ugonjwa wa kuzima zima injin,
Kingine Dosari yake yake nini????

Naombeni wataalam wote tutiririke

Na kuna jamaa nataka nimvue hi gari kaniambia nimpe milion 7 gari ni namba D naomba ushauri wenu nisije kulia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16]Nilijaribu kum-challenge kidogo lakini naona kala kona mazima...

Labda kwa ufahamu wangu na wengine wataongezea au watanirekebisha nitakapokosea..

Kama alivyo uliza...Ni kweli kabisa NISSAN x trail zinakuja na engine tofauti tofauti kulingana na model/generation..

Generation ya kwanza ambayo inaazina kama sikosei 2001 mpka 2007 hizi ni zile NISSAN xtrail common ambazo zimezoeleka sana na wengi kwa sasa wanaziita old model...generation hii inakuja na Engine QR20 abayo ni injini ya kawaida kabisa...petrol natural aspirated with DOHC...aluminium block pamoja na cylinder head.
QR 20 inamilikiwa na Nissan moja kwa moja na 2004 iliboreshwa na kupata MR20

Generation ya pili ya Nissan x trail inaanzi 2007 mpka 2013 kama sijakosea..nitarekebishwa..Hizi ndiyo zile NISSAN XTRAIL kibongo bongo tunaziita new model but infact siyo new model ni generation ya kati...inafanana sana muundo wa body na x trail generation ya kwanza isipokuwa dashboard yake haipo kati kati kama generation ya kwanza.
Hii generation ya pili chache sana zinatumia M9R engine na most of them zinatumia MR 20 ambyo ni injili zilivyotengenezwa kwa Ushirikiano wa NISSAN NA RENAULT...injini hii ilizalishwa kuipiku QR20 ambapo hizi injini mbili zinfanana sana isipokuwa MR 20 ina power zaidi.

Generation ya tatu ya NISSAN XTRAIL inaanzia 2013 mpaka sasa....hii ni Nzuri sana kimuonekano na haifanani kabisa na generation ya I na II....ipo classic sana na bei ghali sana.....generation hii wameendelea kutumia MR20

NB.. Engine zote nilizozungumzia ni petrol...kwa upande wa diesel sielewi kitu..

********Swala la ENGINE ZA NISSAN kuzima zima..
Kuna watu wameshatumia x trail kwa miaka zaidi ya 8 na hawajawahi kukumbana na hayo majanga....wapo pia waliyokutana nayo..

Why...?
Nissan x trail ina sensors nyingi kwenye engine...sensor moja ikizingua lazima gari lizingue.
Hivyo basi inahitaji matuzo sana na usioshe engine kwa maji kama hakuna ulazima.

Injini za x trail hazipigiwi ramli...ukihisi tatizo fanya diagnosis...hapo utakuta ni sensor tu imekufa..utainunua na fundi aichomeke maisha yaendelee...

Sasa ukimpelekea fundi kanjanja aliyezoea injini za 3s za rav 4....hapo lazima alalalimike kuwa x trail ni mbovu na hazitengenezeki.

Kuhusu kuchemsha.....hizi ni MYTHS tu pamoja na kujitakia mwenyewe.

Gari la X Trail halitaki maji ya bomba au kisima...weka genuine coolant.....hakikisha thermal start infanya kazi vizzuri, feni inafanya kazi vizuri, weka recommend engine oil...uzingatia hayo suala kuchemsha utalisikia kwa jirani tu.

Moreover....
Engine za xtrail zingekuwa ni mbovu kama wabongo wengi tunavyodai, NISSAN MOTOR CORP hiko Japani wasingeendelea kuzitumia kila mwaka katika uzalishaji wao....
Tatizo lipo kwetu sisi wapenda vya bei rahisi..

Otherwise Nissan ni gari poa sana ukifunga spea mkataba, balance kwenye mwendo na comfortability.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umechambua vizuri sana
 
Back
Top Bottom