Ushauri wenu kabla sijajiingiza kwenye bidhaa za Oriflame

Tena wengi wanaishia kuwa na madeni makubwa balaa. Hakuna faida ni HASARA KUBWA
 
Tena wengi wanaishia kuwa na madeni makubwa balaa. Hakuna faida ni HASARA KUBWA
 
Dada kama unataka kufanya biashara hiyo hutakiwi kuona aibu kutafuta wateja ofisi kwa ofisi hat ukitongozwa chukulia poa tu
 
Aisee kaka/dada nakushkru sana hasa pale namba nne, mie nafanya biashara na aliyeniunganisha katika group hili namfahamu na ananifahamu, pointi kubwa ni kuwa kama mfanyabiashara tuna deal na bidhaa ambazo ni affordable kwa jamii inayokuzunguka. Kama bidhaa zina bei kubwa basi sio muda wa kupoteza kunadi bidhaa isiyouzika
 
Dada kama unataka kufanya biashara hiyo hutakiwi kuona aibu kutafuta wateja ofisi kwa ofisi hat ukitongozwa chukulia poa tu
Samahani mimi si dada ndugu
 
....mnakandafua...
.....sisi tunaendelea...
Hahaha
Mtu hataendelea au hata ishi kwa orflame pekee, ukiona hawajiungi wanakazi zingine za kafanya
 
Hakuna kitu isipokuwa wamejiandaa vzr kutafuta masoko kwa kutumia lugha nzuri,ukweli anaefaidi ni mmoja tu tena kwa usawa huu na hizo bei zao utaishia kusoma namba kama ile ya nambari one
 
Ahaa....sawa mi nikadhani ushalipia km zilivyo kampuni nyingine
 
hebu nipe huo mchongo wa uber nione upoje upoje
 
Hiyo pesa heri utafute mama ntilie uwakopeshe kila week. ..wakisha fanya biashara wanakurudishia na riba. ..kuliko hii biashara ya pyramid ni utapeli uliyo bobea. ..STAY AWAY MY FRIEND
 
Biashara ya ujanja ujanja tu hiyo.
 
Kama ni mwanaume jiandaa kuwa shoga na kama mwanamke uwe tayari kushikwa maziwa na kutoa k, kama hutak hivyo utajiuzia mwenyewe
 
Biashara yoyote ya Network Marketing kaa nayo mbaliiiii, narudia kaa nayo mbaliiii - Hakuna cha,

- AIM GLOBAL

- HELP HAND INTERNATIONAL

- GNLD

- TREVO

- AGRO INTERNATIONAL

- FOREVER LIVING

- ORIFLAME
NK

Hizo ni biashara ambazo zinawatajirisha waanzilishi tu tena wachache na kujitengenezea WATEJA wa kudumu na wa lazima wa bidhaa zao

- Biashara gani unaingiza watu hawafiki mwisho, Network Marketing ni biashara mbovu kuwahi kutokea duniani, kuna watu zimewafanya mazuzu mpaka mtu kama ameoa anaingiza mimba
 
Mkuu umenivunja mbavu moja ya kushoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vipi mkuu mbilizi ulipaki, na je kuhusu kalandarugo[emoji23]
Mr Cu
 
Acha kupotosha umma, networking marketing ndio biashara ya karne hii....tatizo hujaelewa maana ya networking marketing. Kwa technology inavyoenda, kati ya biashara zenye faida sana ni biashara ya networking marketing. Tatizo kuna networking marketing chache zinazoharibu uhalisia wa biashara ndio maana mnaamini sio kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…