kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,323 Reaction score 12,594 Mar 28, 2023 #1 Wakuu nataka nijilipue niagize huu mzigo. Kwa yeyote anaefahamu changamoto za hizi gari tushauriane hapa nisije ingia cha kike. Karibuni. [emoji120]
Wakuu nataka nijilipue niagize huu mzigo. Kwa yeyote anaefahamu changamoto za hizi gari tushauriane hapa nisije ingia cha kike. Karibuni. [emoji120]
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Mar 28, 2023 #2 kiboboso said: Wakuu nataka nijilipue niagize huu mzigo. Kwa yeyote anaefahamu changamoto za hizi gari tushauriane hapa nisije ingia cha kike. Karibuni. [emoji120]View attachment 2568855 Click to expand... Hizi ni gari ukinunuwa maana yake hauna maisha ya kuungaunga na gereji zake siyo gerezani Bali unakwenda service center zao.
kiboboso said: Wakuu nataka nijilipue niagize huu mzigo. Kwa yeyote anaefahamu changamoto za hizi gari tushauriane hapa nisije ingia cha kike. Karibuni. [emoji120]View attachment 2568855 Click to expand... Hizi ni gari ukinunuwa maana yake hauna maisha ya kuungaunga na gereji zake siyo gerezani Bali unakwenda service center zao.
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,323 Reaction score 12,594 Aug 12, 2024 Thread starter #3 Unavoidable Servant said: Hizi ni gari ukinunuwa maana yake hauna maisha ya kuungaunga na gereji zake siyo gerezani Bali unakwenda service center zao. Click to expand... Mkuu ushauri wako ulinifanya niamue kubaki kwenye Toyota
Unavoidable Servant said: Hizi ni gari ukinunuwa maana yake hauna maisha ya kuungaunga na gereji zake siyo gerezani Bali unakwenda service center zao. Click to expand... Mkuu ushauri wako ulinifanya niamue kubaki kwenye Toyota
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Aug 13, 2024 #4 kiboboso said: Mkuu ushauri wako ulinifanya niamue kubaki kwenye Toyota Click to expand... Good for you.
kiboboso said: Mkuu ushauri wako ulinifanya niamue kubaki kwenye Toyota Click to expand... Good for you.